Jambo kubwa Sana limepitishwa bungeni kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi wameuchuna, hawashangilii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,073
Ni ajabu Sana

Sifa Kuu ya Tume Huru ya Uchaguzi ni Watendaji wake wakuu kupatikana kwa njia Huru, ya Wazi na isiyoegemea upande wowote

Na ndivyo bunge letu tukufu limebadilisha mfumo mzima wa Namna ya kuwaweka kazini viongozi wakuu wa Tume ya Uchaguzi

Cha kushangaza hakuna mwananchi anashangilia Watu bado Wamenuna kama wafipa wa Kinondoni

Nchi ngumu Sana hii 🐼

Mlale Unono 😄😄
 
Tutashangilia vitendo vikianza sio maneno!Tumechoka tuache tupumzike!
 
Ni ajabu Sana

Sifa Kuu ya Tume Huru ya Uchaguzi ni Watendaji wake wakuu kupatikana kwa njia Huru, ya Wazi na isiyoegemea upande wowote

Na ndivyo bunge letu tukufu limebadilisha mfumo mzima wa Namna ya kuwaweka kazini viongozi wakuu wa Tume ya Uchaguzi

Cha kushangaza hakuna mwananchi anashangilia Watu bado Wamenuna kama wafipa wa Kinondoni

Nchi ngumu Sana hii

Mlale Unono
Umesha shangilia wewe inatosha!
 
Japo halikua hitaji lao muhimu,
Wananchi wa Tanzania kwa ujumla wao,
Wametoa maoni yao, maoni yao yameskizwa , yamezingatiwa na sasa yanakwendra kutekelezwa kama sheria bila mbambamba.....🐒
 
Ni ajabu Sana

Sifa Kuu ya Tume Huru ya Uchaguzi ni Watendaji wake wakuu kupatikana kwa njia Huru, ya Wazi na isiyoegemea upande wowote

Na ndivyo bunge letu tukufu limebadilisha mfumo mzima wa Namna ya kuwaweka kazini viongozi wakuu wa Tume ya Uchaguzi

Cha kushangaza hakuna mwananchi anashangilia Watu bado Wamenuna kama wafipa wa Kinondoni

Nchi ngumu Sana hii 🐼

Mlale Unono 😄😄
Unadhani wananchi ni mbumbumbu Kama wewe? Ujinga wa bunge lenu ushangiliwe! Kasome katiba ya jmt Ibara ya 74(1) na 2 ulinganishe ni uzuzu waliofanya wabunge wako.
Kilochofanywa na wabunge wa ccm ni kutengeneza mgogoro wa kikatiba maana Sheria hiyo inakinzanq na Ibara ya 74(1) na 2 inayompa rais ruhusa ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Hayo maurojo yenu eti mmpendekeze majina Kisha yeye ateue kutoka kwenye majina hayo haiwezekani kwani yeye atasimama na katiba ambayo mlitakiwa kubadili Sheria hiyo kabla.
Eti wananchi wawashangilie! Labda machawa msiojua kilichofanyika kuwa ni hadaa na dharau kwa walipakodi wanaowalisha!
Mh. Samia usiisaini hiyo Sheria kwani haina Nia njema na wewe na inakwenda kutengeneza mgogoro wa kikatiba utakaokuondoa. Bunge halina Nia njema na wewe linakutega.
 
wewe ni mpuuzi mkubwa hapa JF! sijui kazi unazifanyaje huko uliko. Kuna tume huru hapa?
 
Unadhani wananchi ni mbumbumbu Kama wewe? Ujinga wa bunge lenu ushangiliwe! Kasome katiba ya jmt Ibara ya 74(1) na 2 ulinganishe ni uzuzu waliofanya wabunge wako.
Kilochofanywa na wabunge wa ccm ni kutengeneza mgogoro wa kikatiba maana Sheria hiyo inakinzanq na Ibara ya 74(1) na 2 inayompa rais ruhusa ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Hayo maurojo yenu eti mmpendekeze majina Kisha yeye ateue kutoka kwenye majina hayo haiwezekani kwani yeye atasimama na katiba ambayo mlitakiwa kubadili Sheria hiyo kabla.
Eti wananchi wawashangilie! Labda machawa msiojua kilichofanyika kuwa ni hadaa na dharau kwa walipakodi wanaowalisha!
Mh. Samia usiisaini hiyo Sheria kwani haina Nia njema na wewe na inakwenda kutengeneza mgogoro wa kikatiba utakaokuondoa. Bunge halina Nia njema na wewe linakutega.
mihemko na panic ni kitu mbaya sana 🐒
 
Back
Top Bottom