Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 202
- 146
Mchoraji mkuu wa siasa za ushindi wa CCM kwa sasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 sio mwingine bali ni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Afande Abdulaman Kinana! Sijui ni watanzania wangapi wanajua hii kitu! Habari ndio hiyo!
Ni ngumu sana kuipokonya ushindi CCM ya sasa uwe wa Madiwani, wabunge au nafasi ya Urais hasa CCM inapokuwa mikononi mwa Kanali wa Jeshi Mstaafu Mzee Abdulaman Kinana! Silaha yake ni moja tu, nayo ni kuila na kuishiba kitu inaitwa military strategism! Hamuwezi kutoboa bila kuyajua mambo haya wanangu wa CDM!
Biblia inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.."
Ziara za sasa za kanda za CCM kupitia Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee wetu Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Mzee Kinana, pembeni na kijana wake Shaka Hamdu Shaka ni "tactical deployment" ya hatari ya CCM ambayo you will never beat if ur not Gulu in military strategism.
Ofisa yoyote wa Jeshi duniani ujengwa katika mambo mengi ya msingi ya uongozi kwa ajili kumshinda adui, iwe katika uwanja wa medani, iwe katika uwanja wa amani au pia iwe katika uwanja wa siasa! Ofisa wa Jeshi ufundishwa jinsi ya kushinda vita na si vinginevyo!
Somo la kuhusu nini afanyacho Mzee wangu Kanali Mstaafu wa Jeshi, Mzee Kinana ni somo gumu kulielewa kwa kalamu pekee yake kuhusu hiki nisemacho, kwani somo hili uenda pamoja na kuvuja jasho na damu ndio maana nataka nifupishe kwa kusema hivi!
Kanali Mstaafu Mzee Kinana anatekeleza Somo linaitwa "Duty Inspection" ambalo Kamanda ulifanya katika maeneo/field mbalimbali kupima utimamu wa vikosi vyake kabla ya kuviingiza katika uwanja wa medani!
Ukaguzi wa miradi "Inspection" ya maendeleo Nchi nzima unaofanywa na CCM karibia kila Mkoa chini ya Kanali Mstaafu Mzee Kinana, Cde Daniel Chongolo na mjamaa Shaka Hamdu Shaka ni maandalizi ya ushindi wa kimbunga wa Mh. Mama Samia Suluhu Hassan mwaka 2025.
Afande Kanali Mstaafu Abdulaman Kinana tayari ameshachora na ameshabeba kitu kinaitwa "SAND MODEL" kichwani kwake ya kumpeleka Mama yetu, Mh. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Mwaka 2025.
Msije mkasema sikusema!
Mwandishi kijana wa kitanzania, Ofisa wa zamani, Idara ya Habari-Maelezo, Ofisa Mwanafunzi wa zamani,Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli Arusha, Mhadhiri Msaidizi wa zamani, Vyuo Vikuu vya Saut na Tumaini na mtia nia Ubunge Jimbo la Kyela 2020.