Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Mto Ng' ombe ambao huanzia ubungo hadi bahari ya hindi kabla ya Rais Magufuli kulikua ma mafuriko yaliyo sababisha nyumba kuharibika na watu kupoteza maisha na mali.
Lakini kwa kazi ambayo Rais Magufuli aliisimamia kuhakikisha mto ngombe unajengwa, mitaa hiyo imekua ni moja ya sehemu salama.
Wamesema hayo katika kikao cha wakazi wa mto ngombe kilicho fanyika leo sinza kwa mama salma.
Wamemwombea hayati magufuli kwa mola.
Mungu iweke pema Roho ya Hayati Magufuli