Kinana akiri kwamba CCM imeondoa kesi 9 za CHADEMA Mahakamani bado 2 wanazishughulikia: kumbe kesi zinafunguliwa na CCM?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki.

Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa chadema na kisha kuzifuta na kwamba kufanya hivyo wana Chadema wanapaswa kumpongeza mwenyekiti wa CCM

Tujiulize upo wapi uhuru wa mahakama? Je, tulifahamu kwamba kesi 11 za wanachama wa chadema zilifunguliwa kwa maelekezo ya kamati kuu ya CCM? Tulifahamu kwamba katika majadiliano chadema walitlelekezwa kukaa kimya bila kufanya siasa ili kesi zifutwe?

Je , CHADEMA wakiendelea kufanya siasa na kupata nguvu awawezi kufunguliwa tena kesi kama zilivyofunguoiwa awali?

Kama mwenyekiti wa CCM anaweza kufuta kesi za jinai, anatumia kifungu gani cha sheria?
 
Dpp anateuliwa na Rais, use your common sense.
 
Ninemtazama,amenisikitisha sana hoja ya tume huru!!

Kusema katiba hiyo hiyo mbovu CHADEMA walipata wabunge wengi zaidi kuliko mwanzo wa vyama vingi ni ufedhuli.

Ni sawa na mtu ulistahili kupewa chakula gunia zima ukale na familia yako-ukaporwa gunia zima na kupakuliwa kwenye sahani kidogo ule mlo mmoja ushibe,ukidai umeibiwa Kinana anasema huna shukrani,si ulikula sahani moja!!
 
Kwamba Ccm kuondoa kesi mahakamani ni Jambo Baya?
Wangehakikisha wanafungwa watu jela ndo ingekuwa Jambo zuri??
 
Mzee anaanza kutoa siri za ndani kabisa kama mtu anayekaribia kukata roho vile.
 
Ninemtazama,amenisikitisha sana hoja ya tume huru!!

Kusema katiba hiyo hiyo mbovu CHADEMA walipata wabunge wengi zaidi kuliko mwanzo wa vyama vingi ni ufedhuli.

Ni sawa na mtu ulistahili kupewa chakula gunia zima ukale na familia yako-ukaporwa gunia zima na kupakuliwa kwenye sahani kidogo ule mlo mmoja ushibe,ukidai umeibiwa Kinana anasema huna shukrani,si ulikula sahani moja!!
Pia Kinana na wanaCCM wenzake wanapaswa kujua, suala la Katiba mpya ni hitaji la watanzania wote (wakiwemo wanaCCM) na sio issue ya kuwafaidisha CHADEMA. Chadema kusimama mstari wa mbele kuipigania ni kwa sababu wanajua ni hoja yenye mashiko kwa watu wengi, na ndivyo vyama vya siasa vinapaswa kufanya hivyo. Hata CCM wanaweza kuamua kuipigania hoja ya katiba mpya, hawajakatazwa na yoyote.
 
Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki.

Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa chadema na kisha kuzifuta na kwamba kufanya hivyo wana Chadema wanapaswa kumpongeza mwenyekiti wa CCM

Tujiulize upo wapi uhuru wa mahakama? Je, tulifahamu kwamba kesi 11 za wanachama wa chadema zilifunguliwa kwa maelekezo ya kamati kuu ya CCM? Tulifahamu kwamba katika majadiliano chadema walitlelekezwa kukaa kimya bila kufanya siasa ili kesi zifutwe?

Je , CHADEMA wakiendelea kufanya siasa na kupata nguvu awawezi kufunguliwa tena kesi kama zilivyofunguoiwa awali?

Kama mwenyekiti wa CCM anaweza kufuta kesi za jinai, anatumia kifungu gani cha sheria?
Chama Cha Matatizo
 
Nkmemsikiliza huyu msomali Leo..
Nimestaajabu sana kama sio kuzeeka vibaya ni wanatumia ujinga wa watanzania ipasavyo
 
Kwamba Ccm kuondoa kesi mahakamani ni Jambo Baya?
Wangehakikisha wanafungwa watu jela ndo ingekuwa Jambo zuri??

..jambo baya ni kuwafungulia kesi za mchango.

..kama wameamua kuzifuta basi wawalipe FIDIA hai waliofunguliwa kesi za michango.

..Sio vizuri mambo haya yafanyike kienyeji-enyeji.
 
Ninemtazama,amenisikitisha sana hoja ya tume huru!!

Kusema katiba hiyo hiyo mbovu CHADEMA walipata wabunge wengi zaidi kuliko mwanzo wa vyama vingi ni ufedhuli.

Ni sawa na mtu ulistahili kupewa chakula gunia zima ukale na familia yako-ukaporwa gunia zima na kupakuliwa kwenye sahani kidogo ule mlo mmoja ushibe,ukidai umeibiwa Kinana anasema huna shukrani,si ulikula sahani moja!!
Kinana aliongoza kikosi kazi cha ku divert matokeo ya uchaguzi kule Masaki , video na ushahidi wote umo humu Jf , sasa kukiwa na Katiba mpya na Tume huru mambo hayo hayatawezekana .

Alishirikiana na kundi lake hili hapa

JamiiForums-787880945.jpeg
 
Halafu kauli kama hii ,CJ ametulia kimya kama kimeo cha Nokia 82, na siku akifa kauli kibao za kinafiki, ohoooo marehemu was a good guy, he never even hurt a fly!,kenges kabisa
 
Back
Top Bottom