Nini kilisababisha Katiba Mpya isipitishwe 2014?

Geneous99

Member
Aug 31, 2019
16
24
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.

1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
 
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Tatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.

Samuel Sitta kama Spika badala ya kusimamia Rasimu ya Warioba akawa anaangalia tumbo lake akiwa kichwani ana mawazo ya kugombea Urais baada ya Kikwete anataka katiba hiyo na nafuu kwake shetani kabisa.

Hasara tuliyoingia ni pesa nyingi tu ila hasara ni kawaida yetu wala haiumi.
 
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.

1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Kwa sababu ya wale chawa vichaa waliomshambulia mzee champion wa katiba pendekezwa ya wananchi🤔
 
..Katiba Mpya ilipitishwa na bunge maalum.

..Na ilikabidhiwa kwa Rais Kikwete ktk sherehe kubwa.

..hatua ilitakiwa kufuata ilikuwa ni KURA YA MAONI.

..Utawala wa CCM na Magufuli uliitupa Katiba pendekezwa pembeni kwa visingizio mbalimbali.
 
Tatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.

Samuel Sitta kama Spika badala ya kusimamia Rasimu ya Warioba akawa anaangalia tumbo lake akiwa kichwani ana mawazo ya kugombea Urais baada ya Kikwete anataka katiba hiyo na nafuu kwake shetani kabisa.

Hasara tuliyoingia ni pesa nyingi tu ila hasara ni kawaida yetu wala haiumi.
Kama Rais angetaka ipatikane Katiba ile ni nani angeweza kumpinga ?? !!
Samwel Sitta ??!
I don’t believe that !!
Au kipindi kile Katiba ilikuwa ni nyingine sio hii iliyopo mpaka sasa ??!
 
Samuel Sitta na wahuni wenzake walichakachuwa maoni ya wananchi yaliyomo kwenye Rasimu ya Warioba.
 
Tatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.

Samuel Sitta kama Spika badala ya kusimamia Rasimu ya Warioba akawa anaangalia tumbo lake akiwa kichwani ana mawazo ya kugombea Urais baada ya Kikwete anataka katiba hiyo na nafuu kwake shetani kabisa.

Hasara tuliyoingia ni pesa nyingi tu ila hasara ni kawaida yetu wala haiumi.
kwangu mimi inaniuma
 
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.

1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
ubinafsi, tamaa na uchu wa uongozi uongozi miongoni mwa viongozi wa kisiasa. Kila moja alitamani ama chama chake ama jina lake litajwe kwenye katiba :D

wengine walivoona uwezekano haupo wakatoroka na posho ambazo ni kodi za wanachi wakatokomea kusikojulikana:D

leo eti ndio wameanza kurudirudi hadharani tena eti wanadai ile ile waloyoikimbia...
 
Kulikuwa na shauku kubwa ya kupatikana Katiba mpya nakumbuka Hata Mimi nilisimamisha kazi nikapeleka maoni kwa wakusanya maoni .
Ilivyokuja kusimamishwa ilikuwa masikitiko .
 
Iko vile bandugu. ! 😎
 
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.

1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
Muda haukutosha awamu ya JK, ikawekwa kwenye ilani ya JPM, JPM akasema katiba sio kipaumbele changu!. Sisi wa kuhoji tulihoji Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
haikupangiwa budget ya kuikamilisha due to kukosekana kwa a Political will!.
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
pesa zote za mchakato wa katiba, billions and billions of money, zimepotea
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Tunaweza ila itakuwa ni bora katiba, kama tunataka katiba bora, we need, time, money, resouses and organisation Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio
P
 
Back
Top Bottom