Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi.

Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika.

Mwandishi Ngetti ametoa taarifa tena huko kwenye magrupu akimshikuru Rais Samia kusikia kilio na wito huo. Amesema Samia tayari ametoa ndege maalumu (aircraft ambulance) itakayomsafiruaha Ole Mushi Hadi Nairobi kwa matibabu pamoja na gharama zote. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Samia ametumia vizuri birthday yake.

Nimpongeze pia Bollen Ngetti kwa kupaza sauti kubwa kwa matibabu ya Thadei Ole Mushi. Sasa tumuombee apone.
 
Kwa hiyo mhimbili na agakglhan hawawezi?basi inamaana serikali inamatataixo sana.Kwanini haijawesesha Kila kitunkikafanyika bongo
Kuna kuzidiana kwenye utaalam....muda utaweza kufanya tuweze kila kitu sio over nite....hata m Dr huwa na rufaa zao wanajuaa
 
Kwa hiyo mhimbili na agakglhan hawawezi?basi inamaana serikali inamatataixo sana.Kwanini haijawesesha Kila kitunkikafanyika bongo
Hata Muhimbili anaweza kupelekwa kilichokuwa shida ni ndege ya wagonjwa. Aircraft Ambulance Tanzania hatuna. Ndege ambayo ni Hospital imayotembea.
 
Sisi Waandishi wa BAHASHA..TUMENUNA

All the best Ole Mushi katika Matibabu...

UBINADAMU KWANZA ...
 
Kwa hiyo mhimbili na agakglhan hawawezi?
Tanzania hakuna madaktari. Ndiyo maana viongozi wote wskiugua hukimbilia nje kupata tiba sahihi.

Unakumbuka wahanga wa moto wa Msamvu enzi za jiwe? Waliokufa wote hapo Muhimbili kwasabb, lkn wangepelekwa nje wangepona.
 
..UV-CCM watapinga kada wao kupelekwa NAIROBI kwa matibabu. wanaamini Wakenya wanawadharau kwasababu ya Kiingereza.
 
Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi.

Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika.

Mwandishi Ngetti ametoa taarifa tena huko kwenye magrupu akimshikuru Rais Samia kusikia kilio na wito huo. Amesema Samia tayari ametoa ndege maalumu (aircraft ambulance) itakayomsafiruaha Ole Mushi Hadi Nairobi kwa matibabu pamoja na gharama zote. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Samia ametumia vizuri birthday yake.

Nimpongeze pia Bollen Ngetti kwa kupaza sauti kubwa kwa matibabu ya Thadei Ole Mushi. Sasa tumuombee apone.

..kumbe Lissu angeweza kusafirishwa kwa msaada wa serikali.

..tatizo lilikuwa ni Magufuli na Ndugai. Walitaka Lissu afe

..serikali italipia matibabu ya Thadei huko Nairobi na hutasikia wakidai anatakiwa apewe rufaa toka kwa Madaktari wa Muhimbili.

Cc Nguruvi3, Tindo, Erythrocyte
 
Je, ni watu wangapi Tanzania wanafariki kwa kukosa matibabu ya moyo uliosimama? Taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete inakazi gani?

Kwanini moyo unasimama? High concentration of sodium kwenye vyakula vyetu au alipewa sumu.?

Ni nini kazi ya taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC)?

TFNC ni miongoni mwa taasisi mizigo nchini.
 
May be haiko financed, na ninasikia wanataka kuifuta as per Kitila Mkumbo.

Sijui imefanyika tafiti gani kuona hii taasisi inafaa kufutwa katika wakati ambao dunia na taifa linaimba kuhusu masuala haya.
 
..kumbe Lissu angeweza kusafirishwa kwa msaada wa serikali.

..tatizo lilikuwa ni Magufuli na Ndugai. Walitaka Lissu afe

..serikali italipia matibabu ya Thadei huko Nairobi na hutasikia wakidai anatakiwa apewe rufaa toka kwa Madaktari wa Muhimbili.
Mkuu kuhusu Lissu kuna rehma za Mungu.
1. Katika maamuzi ya haraka na ya busara sana ambayo Freeman Mbowe aliyafanya ni kukataa Lissu asipelekwe Muhimbili. Ilitegemewa kwamba baada ya kunusurika pale nyumbani akamalizwe mbele ya safari.
Uamuzi wa Mwenyekiti Mbowe ulikuwa wa busara sana na lazima ajisikie faraja katika maisha yake kwa hilo tukio

2. Maamuzi ya Mbowe yalichangiwa na Tundu Lissu Mwenyewe. Wiki moja kabla ya kupigwa risasi TL aliweka bayana kwamba anafuatiliwa na watu na namba za magari yao. Hili lilisaidia sana katika Maamuzi ya kwanini asipelekwe Muhimbili, yaani kulikuwa na red flag.

Kuhusu barua au referal ni upuuzi tu wa wa kuficha ukweli kwamba walitaka kummaliza.
JPM alishatamka saa mbili kabla ya TL kupigwa risasi kwamba ' Wasaliti kule jeshini wanafanywa nini...''
Tunajua pia kijana wake alikwenda Dodoma kusimamia zoezi zima.
 
Je, ni watu wangapi Tanzania wanafariki kwa kukosa matibabu ya moyo uliosimama? Taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete inakazi gani?

Kwanini moyo unasimama? High concentration of sodium kwenye vyakula vyetu au alipewa sumu.?

Ni nini kazi ya taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC)?

TFNC ni miongoni mwa taasisi mizigo nchini.
R.I.P Ole mushi.
 
Back
Top Bottom