sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Ni utawala wa Magufuli ulimfanya Hamphrey Polepole ampigie simu Mama yangu wa Kambo aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Tanga enzi enzo ilikuwa majira ya saa tano Kasoro.
Nakumbuka Mama yangu wa kambo alikuwa ni mke wa nne Baba yangu. Nakumbuka siku hiyo nami nilikuwa kwa mama wa kambo
Nikiwa sebuleni nikiangalia kipindi alichokuwa ameakisisi ndugu Polepole nilimwona akipiga simu kwa Mama wa Kambo alimtaka Atoe ufafanuzi dhidi ya jambo fulani.
Siku hiyo ndo niliona ushujaaa wa Mama wa kambo,maana alitoka chumbani aliko kuwa faragha na mzee na kuja sebuleni kupokea simu.
Baada ya mahojiano majibu aliyomjibu polepole ni kuwa yeye kama katubu tawala mkoa ni mtumishi wa umma na utumishi una muda wa kuingia kazini na kutoka kazini muda ule alio pigiwa simu haukuwa muda wa kazi.
Pamoja ya kuwa uchaguzi ulioiweka CCM madarakni ulygubikwa na ngiriba bado ccm wana utaratibu wa kila mmoja alipoti kwa nani na lini.
Mkuu wa wilaya ni mteule wa raisi anaripoti kwa mkuu wa mkoa ambae nae ni mteule w Rais.
Waziri anaripoti kwa waziri mkuu ambae nae ni mteule wa rais.
Iweje katibu mwenezi na mafunzo anae takiwa kuripti kws katibu mkuu ambae nae ni mteule wa Rais awe boss wa baraza la mawaziri?
Chama kirudishiwe misingi yake ya utawala sa sheria ondoeni vitisho
Bashite na elimu yake ya mchongo hawezi kuwa boss wa watu wenye elimu zao bhana.