Unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali?

Great YHC

Senior Member
Jan 1, 2024
167
596
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha.

Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba yake ni RPC katika mkoa flani, alipata division four hakwenda JKT ila yupo JWTZ na alingia mwezi wa mwisho JWTZ na anajisifia.

Matokeo yake jeshi Letu limekuwa dhaifu mfano Kongo na Sudan wanajeshi wanakufa sana kutoka Tanzania hawasemi, Ajira si kama hakuna ila Kupata kazi kama hauna ndugu basi utoe rushwa.

Tanzania Tuchange
 
Mkuu
Wakikugundua kuwa unawasagia sana kunguni wanakutafuta wanakulambisha asali ili upunguze makali....

Ukijifanya mzalendo sana, wanakupa uraia wa mbinguni
 
Ajira za kujuana ziko mpaka sekta binafsi, hii nchi kabla hujampekeka mwanao chuo, tafuta connection kwanza na magwiji wa mjini, wawe serikalini au sekta binafsi, ukishawapata ndio umpeleke mwanao chuo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha.

Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba yake ni RPC katika mkoa flani, alipata division four hakwenda JKT ila yupo JWTZ na alingia mwezi wa mwisho JWTZ na anajisifia.

Matokeo yake jeshi Letu limekuwa dhaifu mfano Kongo na Sudan wanajeshi wanakufa sana kutoka Tanzania hawasemi, Ajira si kama hakuna ila Kupata kazi kama hauna ndugu basi utoe rushwa.

Tanzania Tuchange
Wewe na familia yako ndio mnatakiwa mbadilike sio Serikali
 
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha.

Tanzania Tuchange
Japo ni kweli Serikali ina Wahuni, lakini sio wote!, japo ni kweli baadhi ya viongozi wake wabinafsi, lakini sio wote, selfless leaders wapo kibao, japo kuna baadhi ni watu wenye roho mbaya, lakini kuna wengi wana roho nzuri kuliko hao roho mbaya wachache, na pia ni kweli kuna baadhi ya watumishi wachache wala rushwa lakini wengi ni watumishi safi, waadilifu, weledi na wachapakazi kustahili kupendwa!.

Give a dog a bad name and hang it!.
Uzalendo wa kweli ni kuipenda nchi yako kwa moyo wako wote despite all the odds!.
Uzalendo kwanza!.

P
 
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha.

Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba yake ni RPC katika mkoa flani, alipata division four hakwenda JKT ila yupo JWTZ na alingia mwezi wa mwisho JWTZ na anajisifia.

Matokeo yake jeshi Letu limekuwa dhaifu mfano Kongo na Sudan wanajeshi wanakufa sana kutoka Tanzania hawasemi, Ajira si kama hakuna ila Kupata kazi kama hauna ndugu basi utoe rushwa.

Tanzania Tuchange
Polee sana kwa kukosa Nafasi za JWTz,Na PCCB na Pia za Polisi na magereza kwa kuto kupita JKT ni wazi kuwa Inauma sana kukosa nafasi halafu kuona wenzako wasio na sifa wanapita..
Naelewa maumivu yako
 
Serikali ni kama familia, wewe tu familia ya kwenu haili nyama mpaka litokee zali la mentali, ukiwa kiongozi unabeba lawama, kwenye familia ili usibebe lawama kuwa mama, sio baba
 
Na ukijaribu tu kuupaza tu sauti na
kuwauliza,Kwa nini nyinyi Kila siku mnakula vya juu?Watakujibu tunakula vya juu Kwa sababu tuna shingo za twiga.
 
Sifa ya kuona,ni lazime uwe na macho,lkn macho peke take bira akili,haitoshi.wewe kinachokusumbua ni upofu na ujinga,
Nasikitika sana kuona kuwa wewe ni miongoni mwa watu mnao msifu mtetezi wa wanyonge kinafki aliye kuwa anajiandalia njia ya kuwa kiongozi wa kudumu badala kujenga misingi imara ya kiuongozi hata yeye asipokuwepo matokeo ya Sasa ni uongozi mbovu wa rais aliyepita.

Watanzania tupate akili , nchi aihitaji mtu kama jiwe kuwa kiongozi ila inahitaji mfumo ambao utamuongoza na kiongozi kuhusu do and don't
 
Back
Top Bottom