Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya?

Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC tukajadili cholera kweli....are experts on this? If not why are we thinking emergency meeting will end the so called janga la kipindupindu?

How if we conducted virtual meeting ? What's our vipaombele? Kipindupindu ni uchafu
 
What a shame! Miaka zaidi ya 60 tuka mzungu aondoke, hakuna wa kumsingizia zaidi ya viongozi mbumbumbu wanaochaguliwa na wananchi mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom