CHADEMA waachwe Waandamane lakini wapewe Ulinzi wa kutosha, Watarahisisha sana Miswada ya Sheria za Uchaguzi Kupita mapema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
 
Si ajabu unaweza kuchoma mtu wa chadema na kisu sababu tu anatofautiana na wewe.
Wala si ujanja ni ujinga ungemjibu kwa hoja shid ilkuw wap
We huoni nyumbu wanavyorusha mitusi humu jukwaani kwa kutofautiana nao kisiasa? Unavyowatazama unawaona ni wastaarabu kumbe eeh?
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
SIO kuwapa UMAARUFU CHADEMA bali Ni AIBU kwa CCM chama kizee Afrika kuogopa Maandamano tena ya AMANI na kueneza Propaganda eti yataleta MACHAFUKO
Atakaye yazuia MAANDAMANO ndiye ATALETA MACHAFUKO na Sio CHADEMA
Tulishuhudi Maandamano ya Uchaguzi wa Kinondoni enzi ya Utawala wa Magufuli POLISI waliyazuia kwa Risasi na matokeo yake AKWILINA aliuawa na sababu ya Maandamano ni MKURUGENZI wa Manispaa kukataa kuwapa CHADEMA Barua za Mawakala

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
jamiiforums1556955921_540x378-jpg.2639634

Zooom hapo.
Mwenyewe anapeeenda umwinyi.
 
Balozi alimuuliza Mwamba, jee tukuletee Marines wasindikize maandamano kama wale wenye vitambi watatumwa kuwazuia?
Mwamba akamjibu, hapana wale watatupa fagio zao na kuungana nasi kuandamana kwena UN office ingawa wao wanataka kwenda pale ferry!
(Joke)
IMG-20240118-WA0011.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
Umepata bando?
 
SIO kuwapa UMAARUFU CHADEMA bali Ni AIBU kwa CCM chama kizee Afrika kuogopa Maandamano tena ya AMANI na kueneza Propaganda eti yataleta MACHAFUKO
Atakaye yazuia MAANDAMANO ndiye ATALETA MACHAFUKO na Sio CHADEMA
Tulishuhudi Maandamano ya Uchaguzi wa Kinondoni enzi ya Utawala wa Magufuli POLISI waliyazuia kwa Risasi na matokeo yake AKWILINA aliuawa na sababu ya Maandamano ni MKURUGENZI wa Manispaa kukataa kuwapa CHADEMA Barua za Mawakala

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
CCM wao tayari wameshaandamana
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
Asubuhi hii tulale unono?Na migunda ndauli?CHADEMA ni maarufu kuliko nyamsa.
 
We huoni nyumbu wanavyorusha mitusi humu jukwaani kwa kutofauriana nao kisiasa? Unavyowatazama unawaona ni wastaarabu kumbe eeh?

Wewe kwa uandishi wako tu, inaashiria kichwani hakuna kitu.

Ungekuwa na kitu ungekiandika ili ama kuikubali hoja, kuikataa hoja kwa kutoa hoja au kuiboresha hoja ili iwe na mantiki kwa vigezo vyako kadiri ya fikra zako. Kuandika vioja kunapeleka ujumbe kwa wachangiaji kile unachokosa kichwani na moyoni mwako.
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
haiwezekani mapanyarodi na manyumbu yasababishe uharibifu na unyang'anyi wa mali za watu mtaani na kuibua taharuki na uvunjifu wa amani eti tunawapa umaarufu 🐒

waandamane, wasiandamane miswada kuhusu sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi itachakatwa na kamati na taasisi husika na kisha kupitishwa na kuwa sheria kadiri itakavyoonekana inafaa, wapende wasipende......

wengi wape, wachache waskizwe ndio Demokrasia inayotumika duniani kote 🐒
 
Back
Top Bottom