Transparency International: Tanzania Yang'ara Mapambano ya Rushwa.Yashika nafasi ya 2 Afrika Mashariki na 89 Duniani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,734
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kufuatilia mambo ya Rushwa Transparent International Tanzania imeendeleq kufanya vizuri ambako Kwa Afrika Mashariki imetanguliwa na Rwanda pekee.
---
How EAC ranked in Transparency International Corruption Index released Tuesday. CPI ranks 180 countries.

Rwanda 49
Tanzania 87
Kenya 126
Uganda 141
Burundi 162
DR Congo 162
South Sudan 177
Somalia 180

My Take
Huu ni ushindi na ushahidi mwingine wa kazi nzuri ya awamu ya 6 kupambana na wezi na mafisadi wa Mali za Umma.

Ujumbe uwafikie Chadema kwamba Katiba Mpya haizuii Rushwa,Waulize Kenya.

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1752390410972942552?t=e5p2joJS_BIuasvDqjRqxg&s=19
 
Tunakukumbuka mpambanaji wa kweli wa Rushwa na Ufisadi.

.... (picha hapa) .....

Ulitumbua kisawasawa. Sasa tunaona matunda yake.

Hongera CCM

Aluta Continua.
 
Tunakukumbuka mpambanaji wa kweli wa Rushwa na Ufisadi.

.... (picha hapa) .....

Ulitumbua kisawasawa. Sasa tunaona matunda yake.

Hongera CCM

Aluta Continua.
Huu ni ushindi wa kujilinganisha mgonjwa yupi anamzidi mwingine au wezi wangapi wanajulikana katika nchi ipi? Halafu Shirika lenyewe linakutazama usoni kabla ya kutoa alama kutegemea kama nchi inajali maslahi ya wenye nguvu nyuma ya Shirika. Mwitikio wa Kesi ya mauaji ya kimbari ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ni mfano dhahiri wa jinsi mataifa yenye nguvu duniani yanavyotoa alama kwa wampendae!
 
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kufuatilia mambo ya Rushwa Transparent International Tanzania imeendeleq kufanya vizuri ambako Kwa Afrika Mashariki imetanguliwa na Rwanda pekee.
---
How EAC ranked in Transparency International Corruption Index released Tuesday. CPI ranks 180 countries.

Rwanda 49
Tanzania 87
Kenya 126
Uganda 141
Burundi 162
DR Congo 162
South Sudan 177
Somalia 180

My Take
Huu ni ushindi na ushahidi mwingine wa kazi nzuri ya awamu ya 6 kupambana na wezi na mafisadi wa Mali za Umma.

Ujumbe uwafikie Chadema kwamba Katiba Mpya haizuii Rushwa,Waulize Kenya.
Upuuzi huu uwafariji Machawa wote.
 
Tunakukumbuka mpambanaji wa kweli wa Rushwa na Ufisadi.

.... (picha hapa) .....

Ulitumbua kisawasawa. Sasa tunaona matunda yake.

Hongera CCM

Aluta Continua.
Kwani kupambana na Rushwa ni kutumbua au kufikisha watu mahakamani?
 
Huu ni ushindi wa kujilinganisha mgonjwa yupi anamzidi mwingine au wezi wangapi wanajulikana katika nchi ipi?
Uzuri ukweli haukwepeki. Vyovyote vile utakavyotambua.

Naafiki na haya chini, kwa sababu ndio Mtazamo wangu.
Halafu Shirika lenyewe linakutazama usoni kabla ya kutoa alama kutegemea kama nchi inajali maslahi ya wenye nguvu nyuma ya Shirika. Mwitikio wa Kesi ya mauaji ya kimbari ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ni mfano dhahiri wa jinsi mataifa yenye nguvu duniani yanavyotoa alama kwa wampendae!

...upo sahihi. Wana lao. Kwa lugha nyingine wametoa 'Ruksa'. Ndio majambazi wakuu hayo.

Hii nayo imenikumbusha ile sheria ya Uganda inayowapa kinga 'wawekezaji wanaotoa au sijui kuombwa rushwa' na ilikuja baada ya International community kuanza kukemea sheria ya ushoga kule.

Kwa kifupi wanalainishana.
 
Hivi tunavyoishi ndivyo itakavyokua miaka mingi mingi sana ijayo.

Tuliobahatika kupata kazi au maisha mazuri sasa hivi basi warithisheni watoto wenu.
Kizazi kijacho kitapitia magumu zaidi maana kiwango cha ubinafsi kwa watawala kinaongezeka kila uchwao.
 
Kwani kupambana na Rushwa ni kutumbua au kufikisha watu mahakamani?
Wewe unaonaje? Waachiwe waendelee kuhujumu au wafukuzwe kazi.

Itoshe, Wamefikishwa na Mahakama maalum ikaanzishwa. Mlipinga!

Wakapewa plea bargain. Mlipinga!

Uki tafuta mitandaoni, la kwanza kuibuka ni "Raisi aliyepambana na Rushwa"

Huyu wa sasa abakie na "Diplomasia ya kutiana Umasikini tu"? natania "Diplomasia ya Uchumi"

"Let us give credit where it due" ni Hivyo. Its a Sunk Cost Fallacy. 😌
 
Wewe unaonaje? Waachiwe waendelee kuhujumu au wafukuzwe kazi.

Itoshe, Wamefikishwa na Mahakama maalum ikaanzishwa. Mlipinga!

Wakapewa plea bargain. Mlipinga!

Uki tafuta mitandaoni, la kwanza kuibuka ni "Raisi aliyepambana na Rushwa"

Huyu wa sasa abakie na "Diplomasia ya kutiana Umasikini tu"? natania "Diplomasia ya Uchumi"

"Let us give credit where it due" ni Hivyo. Its a SunkCost. 😌
Wewe unaona mwenzako anapelekwa sero utaiba? Kama ni kutumbuliwa si Bora niibe the maximum coz mwisho wa siku najua ni kutumbuliwa tuu?
 
Wewe unaona mwenzako anapelekwa sero utaiba?

...si uliona mwenyewe walivotumbuliwa ndio wakaacha ufisadi.

Tulikuwa tukienda ofisi za Serkali tunaingia na tunotoka bila kuhujumiwa haki zetu.
Kama ni kutumbuliwa si Bora niibe the maximum coz mwisho wa siku najua ni kutumbuliwa tuu?

Kwani walitumbuliwa tu pasipo na Usaa?

Huu wizi wenu, msubiri tu. Tutawabeba kwenye matenga na kuwaburuza Wilaya zote.
 
CHADEMA watapinga na hapo hapo unaona wanatoa macho pale ukiwaambia na kuwauliza habari za pesa za join the chain zipo wapi, Zilipatikana kiasi gani,zilifanya kazi gani? kwanini viongozi wa juu na wajumbe wa kamati kuu kama Lissu na lema hawajuwi juu ya pesa hizo ziliko na kiasi kichopatikana.
 
Back
Top Bottom