Wakati wa Nyerere Wasanii walitumiwa kuwaliwaza Wananchi wasiufikirie Ugumu wa Maisha lakini zama hizi Wasanii Ndio Viongozi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Wale Wahenga wanakumbuka jukumu la Wasanii siasani enzi za awamu ya kwanza

Wasanii walibaki kuwa waburudishaji tu

Zama hizi tumeendelea Sana Wasanii Ndio Viongozi Watoa maamuzi Akina MwanaFA nk

Mlale Unono 😂
 
Mzee Rashid Kawawa alikuwa muigizaji maarufu sana enzi zake kabla hata ya uhuru....

Nyerere msanifu wa fasihi na mwandishi...... msanii.

Mzee Nnauye naye.....

Hebu punguza makasiriko na nongwa Maaandamano yapo pale pale🤣
 
Back
Top Bottom