Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao...
Zanzibar inajiandaa kwa kitovu kipya cha biashara kwa kuzindua Mji wa Nyamanzi, mradi wenye dira unaotarajiwa kubadilisha hali ya kiuchumi ya kisiwa hicho.
Rais Hussein Mwinyi alipokea mwongozo...
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia...
Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa...
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa...
Nimefuatilia bei ya kuagiza sukari kutoka Pakistan kuja Dar es salaam ni USD 550 kwa tani mpaka bandari ya Dar es salaam.Hii ni sawa na Tshs 1,387,460.25 kwa maana kilo 1 ya sukari inafika bandari...
Watasema nini baada ya Lowassa kurudi CCM?
Monday March 11 2019
Kwa ufupi
Edward Lowassa ambaye amekuwa akibadili mwelekeo wa kisiasa, ambapo Julai 28, 2015 alitoka CCM na kwenda Chadema...
Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara...
Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''.
Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa...
Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja...
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu...
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo...
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema. Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia. Wataalamu wa political science mtusaidie hili...
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye...
Ni msema ukweli huwa hamung'unyi maneno. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyepe ni nyeupe sio nyeusi.......hicho ndicho kinacho wafanya wananchi wamuamini na kumlilia kero zao wakiamini zitapata...
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu...
Wanabodi,
Nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, kama kipimo uha ushindi wa uchaguzi, ni Idadi ya watu waliojitokeza kwa ridhaa...
Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha...
Ndugu zangu wadanganyika,
Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza...
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si...