Awamu ya sita ilianza mwaka 2021 baada ya Rais magufuli kufariki.
Ilianza kwa mbwembwe na huku mambo yakionekana yanaenda.
Kwanini kadri siku zinavyo kwenda , mambo yanazidi kuzorota?
Watalaam...
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi...
Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake.
Katika mapambano...
TANESCO wanahitaji kutusikia tunavyowafanyia rating ya huduma zao. Toa neno moja linaweza kuwaondoa pale walipokutana.
Mimi neno langu nikuwaomba wafanyakazi wa TANESCO waache kusema WANASIASA...
Polisi hawajawahi kuchunguza ni nani alimshambulia Tundu Lissu tarehe 7/ 09/ 2017 pale Dodoma. Wanatoa kisingizio cha kipumbavu kuwa mpaka wampate Dereva wa Lissu ambaye yuko Ubelgiji.
Kwa namna...
Ndugu zangu Watanzania,
Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa ,Nguli wa sheria ,mwanamke jasiri na msomi wa sheria kuwahi tokea kutoka nyanda za juu kusini na Rais Wa umoja wa Mabunge Duniani...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,nyota ya matumaini,simba wa nyika, komandoo wa vita, mama...
Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa...
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.
Kinana amesema badala yake...
Kwa sasa NMB ni benki inayofanya vizuri zaidi ikishindina na CRDB na kuziacha benki nyingine kwa mbali sana. Hii yote imewezekana kwa sababu ya uwekezaji uliotokana na kubinafsishwa kwa sehemu ya...
MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA
"Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.
Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya...
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar...
Nchi nzima ipo gizani sukari kilo 5,400 mtu anakuja kukuomba kura kwa tiketi ya CCM hakuna haja ya kumuuliza swali maana akija akikuta umeme sukari hataikuta, akikuta sukari umeme hataukuta. CCM...
Siasa na Uchumi vinaenda sawia na Siasa Safi ndio hupelekea Uchumi bora
Kinara wa Siasa za Tanzania kwa sasa ni kijana mdogo kabisa mwenye maono ya Kisayansi Komredi Makonda
Tuzidi kumuombea...
Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika.
Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi...
Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri.
January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu...
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!
TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu...
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena
Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.