Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari? Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60? Sukari!! Aibu naona mimi...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Mawaziri kivuli Bi. Kiza Mayeye uchukuzi na Bi. Halima Nabalang'anya biashara / viwanda walipuka bei za nauli, usafiri, uchukuzi na pia bidhaa kama sukari imekuwa changamoto kwa wananchi wengi...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
MOMBA: "ANAYEPINGA MADAI YA SHIDA YA MAJI MOMBA AKAPIMWE AKILI"? BAANDA ya February 2. 2024 Mbunge wa Jimbo la Momba kwenda na ushahidi wa video ikionyesha Wananchi wa Kijiji cha Lwatwe kata ya...
1 Reactions
1 Replies
590 Views
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm. Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao, Kwa madhambi aliyo tenda. Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI Sherehe za Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kufana Musoma...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Nchi yetu inakuwa Kwa kasi, Ujenzi wa Makazi, Biashara,Viwanda. zinaongezeka Kila kukicha, Tunashukuru Mungu.Viongozi wetu wanapaswa kwenda na kasi hiyo katika mipango yao. Miaka michache ya...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Yani kubadilisha jina kutoka tume ya taifa nec, hadi tume huru ya uchaguzi, ndio wanatuaminisha, teari washarekebisha, matatizo ya tume, kwa kubadilisha jina, kwahio hapo ndio teari mapungufu ya...
2 Reactions
7 Replies
571 Views
Hii idaraya maji inashida Gani?? Nimeona Leo tbc habari
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu...
1 Reactions
5 Replies
779 Views
Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
3 Reactions
15 Replies
988 Views
Nawapongeza Namibia Kwa kuziba Pengo la ombwe la madaraka punde tuu baada ya kifo Cha Rais Huge na hivyo Kuzuia ombwe la madaraka na sintofahamu.👇👇...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma. Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu. Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nakumbuka Maneno yake pale madhabahuni alisema " Najua tunaiendea Kwaresma nawaomba Sana msiache Kufunga na Kuomba mimi sitaweza kufunga ila naomba mniombee" Mungu wa Mbinguni endelea kumtunza...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
4 Reactions
13 Replies
926 Views
Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati wananchi tunahangaika kupata mahitaji yetu muhimu mh. Kinana anahangaikia kura za uchaguzi mdogo wa mwaka huu! Kwake nchi na wananchi hawana matatizo yoyote ya mahitaji yao ya kila siku...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashauri wameanza kuwaita watumishi wa umma kwenye kumbi za Halmashauri wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao 2025 Taarifa za kutoka Halmashauri...
1 Reactions
9 Replies
912 Views
Back
Top Bottom