Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
Poleni kwa Msiba Wakuu!

Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.

Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.

Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.

Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.

Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.

Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?

Karibuni
 
Huo ukimya wake ndio uliosababisha watu wampende, hasa nikikumbuka kile alichofanyiwa na rafiki yake JK ndicho kilichosababisha wengi waone ameonewa hajatendewa haki.

Hivyo wakaamua kumuunga mkono kwenye kampeni zake za kuusaka urais, kwa yake mafuriko makubwa ya watu mikoa yote Tanzania Bara ambayo hayajawahi kufikiwa na mgombea mwingine yeyote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
View attachment 2899914
 
Ushawishi wa Dr. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.

Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.

Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?

Karibuni
Wakati ni Waziri mkuu alikua mchapakazi mzuri tu, kama Jpm kulikua na tumbua tumbua na safisha safisha serikalini,

Pia anakubalika na "Elites" wa Nchi, Kumtoa kingunge CCM si kazi ndogo, unapikubalika na Elites, wale Elites wanakuwa na followers wao ambao wanaweza wasikukubali ila sababu wewe ni kiongozi wa watu wanaokukubali inabidi na wewe wakukubali for the time being. Mfano hapa Jf chawa wa Samia sio wote ni Loyal kwa Samia, Bali sababu tu mabosi zao wapo chini ya Samia na wao inabidi wamsifie.
 
Umeniongezea kitu Mkuu. Ubarikiwe sana.
 
Nilisoma naye Arusha Secondary School akinitangulia miaka miwili, niseme tuu sisi tuliotokea Arusha mjini tulizidiwa na Masai toka Monduli akawa Parade band leader, Head Prefect na best Basketballer
Alikuwa na nyota na haiba ya kupendwa.

Kwa hiyo ni nyota.
Maana ukiangalia kampeni za 2015 unajua mzee alidorora mno lakini kura alizozipata sio Pouwa.
 
Huo ukimya wake ndio uliosababisha watu wampende, hasa nikikumbuka kile alichofanyiwa na rafiki yake JK ndicho kilichosababisha wengi waone ameonewa hajatendewa haki.

Hivyo wakaamua kumuunga mkono kwenye kampeni zake za kuusaka urais, kwa yake mafuriko makubwa ya watu mikoa yote Tanzania Bara ambayo hayajawahi kufikiwa na mgombea mwingine yeyote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Nafikiri yeye na JK watakuwa wameweka mambo yao sawa. Maana kisa chak kinasikitisha sana. Usaliti
 
Poleni kwa Msiba Wakuu!

Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.

Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.

Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.

Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.

Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.

Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?

Karibuni
Pengine Mimi sijakuelewa. Unahoji nguvu ya mtu ambae katumikia nyazifa mbalimbali za juu zinazo muunganisha na watu moja kwa moja katika maisha yao.
Hiyo ni kawaida kabisa kwa mjibu wa nyazifa mhimu alizozipitia
 
Back
Top Bottom