Mwaka jana wakati wa kikao cha CCM kilichopokea na kukubali chogolo akae pembeni Mwenyekiti alisema watafanya uchunguzi dhidi ya watu wanaomtuhumu Chogolo.
Ukipita mitandaoni leo kwanza kuna...
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi...
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha...
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi...
Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili...
Ni utawala wa Magufuli ulimfanya Hamphrey Polepole ampigie simu Mama yangu wa Kambo aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Tanga enzi enzo ilikuwa majira ya saa tano Kasoro.
Nakumbuka Mama yangu wa...
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo ametoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Eberneza la Mataifa Yote jijini Arusha huku akiwa amesindikizwa na Watu mashuhuri...
Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia...
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza...
Mbunge Saashisha Mafuwe Amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema
Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame.
Mamia ya waombolezaji...
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema imemlazimu kuwapa adhabu Vijana wa Kanisani hapo kwa Sababu ya uzembe wa kutomaliza kazi licha ya kulipwa pesa zao zote
Matsahi amesema ingekuwa akiwapa...
Mto Ng' ombe ambao huanzia ubungo hadi bahari ya hindi kabla ya Rais Magufuli kulikua ma mafuriko yaliyo sababisha nyumba kuharibika na watu kupoteza maisha na mali.
Lakini kwa kazi ambayo Rais...
MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA
Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini.
Jumuiya zote za CCM...
ANACHOTAFUTA LISU NI KUKIMBIA NCHI KAMA KAWAIDA YAKE.
Na Thadei Ole Mushi.
Utulivu wa Akili utakusaidia kuelewa, Mihemko, Hasira na Ukada utakufanya kutokuona jambo hili la kiuchunguzi...
Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Kiongozi akitaka kujiuzulu anapaswa kumpa taarifa Boss wake kwanza badala ya kukurupuka kwenda kutangaza kwenye Vyombo vya Habari huku akitoboa...
Habari wanaJF.
Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe.
UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha...
Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi.
Sababu...
Amani kwenu Members wote.
Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.
Ile sehemu...
WanaJF
Salaam!
Maji hufuata mkondo wake - Rais wa awamu ya pili wa JMT alijizaa mfano wake. Hussein Ally Hassan Mwinyi (Rais wa sasa wa nchi ya Zanzibar) ni kiongozi shupavu na mwadilifu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.