LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Nimefuatilia bei ya kuagiza sukari kutoka Pakistan kuja Dar es salaam ni USD 550 kwa tani mpaka bandari ya Dar es salaam.Hii ni sawa na Tshs 1,387,460.25 kwa maana kilo 1 ya sukari inafika bandari ya Dsm kwa Tshs 1,390/=...inakuwaje bei ya sukari inafika 3000?
Serikali ieleze wazi ongezeko la zaidi ya asilimia 100 inatokana na nini? Waziri wa kilimo anatumia takwimu gani kuweka bei elekezi ambayo haifanani hata kidogo na bei halisi?
Bei ya sukari huko nje sio siri zinapatikana mtandaoni huu upigaji kwanini waziri anauacha wakati wananchi wanaumia?