THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''.
Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa ulinzi na vyombo na Dola kwa kiasi kikubwa imeonekana kama ni pigo kwao na ushindi Kwa CCM kwa kuwa maandamano yalifanyika pasipo na kikwazo na HAIKUWA sababu ya kuleta joto joto la kisiasa nchini.
Sina uhakika Kwa upinzani kama kwao wanaona Kwa hilo wamefanikiwa au la.
Ila Kwa mtazamo wangu, kazi kubwa ya wapinzani ni kuangalia mapungufu ya chama Tawala na kuyakosoa na kusema wao wakishika dola watafanya Nini tofauti.
Kitu ambacho kinafanyika Kwa Sasa na mwenezi wa CCM ni kuwasadia na kuwarahishia kazi wapinzani, kwani talk of the town Kwa Sasa ni yeye na jinsi ambavyo amekuwa anayasema mapungufu lukuki ya serikali iliyoko madarakani, ambayo actually ni serikali Yao wenyewe CCM.
Wapinzani wanajiuliza why wapotekeze nguvu Yao na fedha Zao kwenda kuifanya kazi ambayo indirect way CCM wenyewe wanaifanya?
Utawala wa sheria kokote duniani lazima serikali iwe na checks and balances, na ndiyo MANTIKI ya uwepo wa Executive, Judiciary, and the Parliament.
Kusimama na kusema kwamba wananchi wasikimbilie mahakamani hadi kwanza wahakikishe Haki wanaipata kwa wateule wa Rais, ili hali kitu kilichowafanya hao wafikirie kukimbilia mahakamani ni kwa sababu ya kuikosa Haki hiyo serikalini ni kuzidi kuizalilisha concept yote ya uimara wa checks and balances ndani ya Taifa hili kuwa kwa kuzidi kuonesha kuwa kote kumeoza.
Hata Jaji Feleshi alipodiriki kusimama na kulisemea hilo japo kwa uchache naona alionekana kama kituko kwa baadhi ya watu lakini consequence yake ni hii inayoonekana sasa.
Kila siku ziara hizo zimekuwa zinaibua drama na uozo mwingi ndani ya serikali, ambayo ndiyo kazi kubwa ya wapinzani, sasa hata wakiingia ulingoni waseme Nini ili Hali Kwa asilimia kubwa mengi wanayasema wenyewe watawala?
So far umeme ameshasema, ardhi ameshasema, utekaji unaondelea ameshasema, bado sijamskia kwenye sukari na mengine, ingawa hata kama anasema Bado hakuna impact ya moja kwa moja kwa sababu mengi siyo matatizo ya kutolewa Majibu ya papo kwa papo na yakaisha.
Hiyo ndiyo sababu kubwa inayowapelekea wapinzani kukaa kwenye sofa na kula popcorn huku wakiendelea kusubiri muda uwe hakimu na kuendelea na mipango Yao mengine.
CCM ni kama wameamua kukubali kuendelea kuvuna walichokipanda?