Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu

Rais Samia ni jasiri, mwenye maono na muonesha njia na hizi ndio sifa za kiongozi bora. Kiongozi bora ni yule mwenye kukubali kuwajibika( ujasiri) , mwenye kutsifiri sera kwa vitendo( maono) na kutoa mwelekeo wa sera( muonesha njia). Hakuna wa kubisha juu ya sifa hizi kwa Rais Samia.

Kupitia andiko lake Mhe. Rais la 4R (Reconciliation, resilience, reforms and rebuilding) tunaona kwamba ni kwa kiwango gani Mhe. Rais atakuwa ni kioo katika uongozi. Ni lazima pawepo na upatanisho, kuvumiliana ,maboresho na kujenga upya ili mambo yasonge.

Historia inatufundisha mengi panapokosekana mambo hayo. Upatanisho ni njia ya kujenga amani na mshikamamo, uvumilivu ni njia ya kudumisha amani na mshikamamo, maboresho ni njia ya kufanya maboresho na kujenga upya ni njia ya kuanza upya.

Kwa kuwa sasa tupo kwenye kuhimiza hizo 4R ambazo kimsingi ni njia aliyobuni Raise Samia katika ujenzi wa Taifa na yenye matokeo chanya inaonesha ni kwa kiasi uongozi wake utakuwa ni kioo kwa uongozi utakaofuata.

Uongozi wa Rais Samia unatoa mwelekeo kwa uongozi wa kesho wa Tanzania na kila tukiutazama tutakumbushwa kutumia 4R za Rais Samia.

Uongozi wa Rais ni kioo chenye kuonesha sifa za viongozi wa Taifa hili kwa vijazi vijavyo.

Rais Samia atakuwa ni kioo kitachatumika kuuangalia kila uongozi baada yake.
 
If a

If atatupatia katiba na tume huru ya uchaguzi bwashee
 
Back
Top Bottom