Sakata la bandari limevuruga chama cha mapinduzi katika maeneo mengi; limevuruga baraza la mawaziri na kulivuruga Bunge.
Mfumo wa bunge umeparaganyika; spika wa Bunge amehamia jukwaani na kuachia...
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?
Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya...
Hayati Julius Nyerere alirudia sana maneno hayo kuwa mtu anakudanganya waziwazi huku anajua kuwa unajua kuwa anakudanganya, basi anakudharau kuwa huna la kumfanya lolote lile.
Sasa sasa hivi sio...
Salaam, Shalom!!
Nimewahi kuandika Thread isomekayo,
Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.
Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) -...
Nimeona wapinzani wengi na wasio wana CCM wakikosoa, kuzodoa na kulaani uteuzi wa Paul Makondoa kuwa Katibu mwenezi wa CCM.
Hili ni jambo lisilo na mashiko kwa sababu CCM kama chama kina...
Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye...
Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa...
Wanabodi
Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana...
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"
Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa...
Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda
Watu ukishawajua bhana, haikusumbui!
Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa...
Gazeti la Mtanzania limeandika kuwa Bishop Dr.Josephat Gwajima atajibu leo kuhusu kuhusishwa kwake na issue za madawa ya kulevya
Jana RC wa Dar alimtaja Gwajima na kumtaka kuripoti polisi kutoa...
Mwenezi mpya wa CCM komredi Makonda amesema Kiongozi mzembe atamsema hadharani kwa sababu hajateuliwa kwenda kuwapamba Watu.
Makonda amesema haiwezekani Wananchi wapeleke matatizo yao kwa Vyama...
Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video...
SWALI aliloulizwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuhusu tuhuma zilizosambaa mitandaoni, kwamba anatumia cheti cha kidato cha nne cha mtu, zimeibua jambo jipya kuhusu tuhuma hizo...
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Paskali ni raia mwema wa nchi hii, na kila raia mwema wa nchi yake, atahitaji kuona sheria, taratibu na kanuni zikifuatwa ikiwemo ulipwaji kodi ambazo ndizo...
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu...
Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa...
Wanabodi,
Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani...
Kitendo cha Makonda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.
Vitisho hivi vimetafsiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.