MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
 
Naunva mkono hoja JM asipomjibu ujue anakufa kijiba cha roho.....angeomba kupumzika na dharau hizo.....au akanushe matamshi tena alambe tapishi hilo kuu....
 
Siyo na
Kwa chapisho lako hili, unazidi kudhihirisha namna ambavyo mahakama hazitendi haki.
Si nadhihirisha, P.Makonda kagonga msumari wa mwisho kwenye jeneza la mahakama, na jeneza la CCM Kuhusu kutumia mihimili vibaya, manake mihimili yote sahivi ipo uchi tena wa mnyama
 
Attachments

  • IMG-20240211-WA0003.jpg
    IMG-20240211-WA0003.jpg
    212.7 KB · Views: 3
Mbona kama Una support hoja ya Makonda? Unazidi kusagia kunguni muhimili wetu wa mahakama.

Ila Makonda anaongea ambacho majority ya wa Tanzania wangependa kukisikia, no wonder huku mtaani huwaambii kitu kuhusu Makonda.
 
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
Pumbafu kabisa. Nyie ndio wale fisadi mnaona kina makonda na sabaya wana makosa kwa kuwazuia kufisidi jamii. Kesi ya sabaya haikutosha bali mnaendelea kumwuita sabaya muuaji kwa kuwazuia kula vya kunyonga. Mnaendelea kujidai mahakama imekosea kumuona Sabaya hana makosa na kumwachia huru. Wala hamjuti kwa kumtesa maana mlichanga hela kuhonga ili afungwe kwa kesi ya uongo. Wanaharamu nyie kwa mioyo yenu mibaya. Mtapata laana ya mungu.
 
Siku hizi Feleshi ndiye Jaji Mkuu wenu?
 
Chief

Next time jaribu kuandika Kwa paragrafu, uandishi wako unampa sana shida msomaji
 
Wala kuchukia wengine kusiwafanye kuacha uadilifu. Kuweni Waadilifu; hivyo ndivyo kuwa karibu mno na uchaMungu...." (Kurani 5:8)

Mtume Muhammad alisema: "Enyi watu, jihadharini na dhuluma,[5] kwani udhalimu utakuwa giza siku ya Kiyama."[6]

Na wale ambao hawajapata haki zao (yaani, kwa kudai haki zao) katika maisha ya sasa duniani watazipata Siku ya Kiyama, kama vile Mtume alivyosema: "Siku hiyo ya Kiyama, haki zote zitapewa kwa wale wanaostahiki (na maovu yatalipizwa)..."[7]
 
Pumbafu kabisa. Nyie ndio wale fisadi mnaona kina makonda na sabaya wana makosa kwa kuwazuia kufisidi jamii. Kesi ya sabaya haikutosha bali mnaendelea kumwuita sabaya muuaji kwa kuwazuia kula vya kunyonga. Mnaendelea kujidai mahakama imekosea kumuona Sabaya hana makosa na kumwachia huru. Wala hamjuti kwa kumtesa maana mlichanga hela kuhonga ili afungwe kwa kesi ya uongo. Wanaharamu nyie kwa mioyo yenu mibaya. Mtapata laana ya mungu.
Mahakama ipo huru na inatenda haki,kama ujatendewa haki kakate rufaa
 
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
Mimi nafikiri ni kweli alichoongea. Mahakama zimeoza Sana. Watu wanadhulumiwa Sana haki zao.Ndugu insomekana unapenda unafiki na kuficha ukweli.
 
Haaangaya aka amiri Muhimili uliojichimbia sana
Kama kuna wakumpinga anyooshe kidole
Makonda yuko salama sana
 
Back
Top Bottom