Wimbo wa Taifa ufanyiwe marekebisho

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Amani kwenu Members wote.

Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.

Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na Kwa wakati ule hatukuwaza umuhimu wa matumizi mengine Kwa wimbo huo.

Kwa sasa wimbo wetu unatumika kwenye michezo, siasa nk. Kwa maoni yangu sioni kabisaa haja ya kuendelea kuacha hicho kipande cha kuibariki Africa. Mfano Jana wakati tunacheza na Morocco, tuliomba Mungu ibariki Tanzania, Lkn hapohapo tukaomba aibariki na Africa(akiwemo Morocco). Sasa Hayo maombi gani!? Yaani unaomba baraka Mungu akubariki ushinde halafu hapohapo unamuombea baraka mpinzani wako!?

Kimsingi maombi ya kuombewa na mtu mwingine yana nguvu zaidi kuliko ukijiombea mwenyewe, Ndo Maana watu wanaenda kuombewa makanisani na misikitini.. Tuache kuwaombea baraka tunaoshindana nao, wataomba wenyewe halafu Mungu Ndo ataamua kuliko sisi kuonekana tupo tayari kuwatakia baraka washindani wetu.

Najua wazee wa system wamejaa hapa jukwaani wamshauri rais tuondoe Hayo maneno ya kuwatakia baraka wenzetu. Maana hata kwenye uhalisia hatuelewani na kila nchi iliyopo Africa, sasa Kwa nn tunawabariki!?

Nawasilisha.
 
Amani kwenu,
Members wote.

Yaani yaani baada ya kupigwa na Morroco ndio ukaleta huu uzi?

Mbona Morroco imebarikiwa sana hata mkisusa kuiombea, wana timu nzuri, miundo mbinu bora kabisa.

Kama ni kipengele cha kubadili ni kuibariki Africa Umekosea sana mkuu.

Viongozi wa nchi yetu ndio tatizo ila kuna ubeti unasema "wabariki viongozi...."

Hao viongozi ndio wamefanya stars kuwa 'kichwa cha mwendawazimu' na bado mnakaza shingo kuimba "wabariki viongozi wote.."

Are you serious mkuu?
 
Tuwaombee adui zetu.
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo kwa wote..... Natamani wimbo huu ndo ungekuwa unatumika.
 
Yaani yaani baada ya kupigwa na Morroco ndio ukaleta huu uzi?

Mbona Morroco imebarikiwa sana hata mkisusa kuiombea, wana timu nzuri, miundo mbinu bora kabisa.

Kama ni kipengele cha kubadili ni kuibariki Africa Umekosea sana mkuu.

Viongozi wa nchi yetu ndio tatizo ila kuna ubeti unasema "wabariki viongozi...."

Hao viongozi ndio wamefanya stars kuwa 'kichwa cha mwendawazimu' na bado mnakaza shingo kuimba "wabariki viongozi wote.."

Are you serious mkuu?
Sema hapo pia umeongeza jambo Muhimu.. Hii ya kubariki viongozi nayo inabidi iondoke.. Hivi vitu Ndo vinawafanya wajione wao ni special.. Nakubaliana na ww hata Hayo ya kubariki viongozi yaondolewe. Tuombee na kubariki taifa peke yake.
 
Binafsi huwaga siimbi hip ubeti wa kwanza!Hauna maana yoyote ile!Ni vema ukaondolewa kabisa ubaki huo wa pili!
 
Amani kwenu Members wote.

Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.

Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na Kwa wakati ule hatukuwaza umuhimu wa matumizi mengine Kwa wimbo huo.

Kwa sasa wimbo wetu unatumika kwenye michezo, siasa nk. Kwa maoni yangu sioni kabisaa haja ya kuendelea kuacha hicho kipande cha kuibariki Africa. Mfano Jana wakati tunacheza na Morocco, tuliomba Mungu ibariki Tanzania, Lkn hapohapo tukaomba aibariki na Africa(akiwemo Morocco). Sasa Hayo maombi gani!? Yaani unaomba baraka Mungu akubariki ushinde halafu hapohapo unamuombea baraka mpinzani wako!?

Kimsingi maombi ya kuombewa na mtu mwingine yana nguvu zaidi kuliko ukijiombea mwenyewe, Ndo Maana watu wanaenda kuombewa makanisani na misikitini.. Tuache kuwaombea baraka tunaoshindana nao, wataomba wenyewe halafu Mungu Ndo ataamua kuliko sisi kuonekana tupo tayari kuwatakia baraka washindani wetu.

Najua wazee wa system wamejaa hapa jukwaani wamshauri rais tuondoe Hayo maneno ya kuwatakia baraka wenzetu. Maana hata kwenye uhalisia hatuelewani na kila nchi iliyopo Africa, sasa Kwa nn tunawabariki!?

Nawasilisha.
Unetumia uhuru wako wa mawazo kutujazia pumba humu JF.
 
Tena mimi nashauri kipengele cha MUNGU IBARIKI AFRIKA kiongezwe kwenye nyimbo zote za Mataifa ya Bara la AFRIKA.

Kipengele hicho kiongezwe kwa kutumia lugha zao.
 
Amani kwenu Members wote.

Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.

Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na Kwa wakati ule hatukuwaza umuhimu wa matumizi mengine Kwa wimbo huo.

Kwa sasa wimbo wetu unatumika kwenye michezo, siasa nk. Kwa maoni yangu sioni kabisaa haja ya kuendelea kuacha hicho kipande cha kuibariki Africa. Mfano Jana wakati tunacheza na Morocco, tuliomba Mungu ibariki Tanzania, Lkn hapohapo tukaomba aibariki na Africa(akiwemo Morocco). Sasa Hayo maombi gani!? Yaani unaomba baraka Mungu akubariki ushinde halafu hapohapo unamuombea baraka mpinzani wako!?

Kimsingi maombi ya kuombewa na mtu mwingine yana nguvu zaidi kuliko ukijiombea mwenyewe, Ndo Maana watu wanaenda kuombewa makanisani na misikitini.. Tuache kuwaombea baraka tunaoshindana nao, wataomba wenyewe halafu Mungu Ndo ataamua kuliko sisi kuonekana tupo tayari kuwatakia baraka washindani wetu.

Najua wazee wa system wamejaa hapa jukwaani wamshauri rais tuondoe Hayo maneno ya kuwatakia baraka wenzetu. Maana hata kwenye uhalisia hatuelewani na kila nchi iliyopo Africa, sasa Kwa nn tunawabariki!?

Nawasilisha.
Una umri gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Waombeeni wanaowaudhi,wapendeni adui zenu,mkiwapenda wanaowapenda mnafanya ziada gani?
 
Unetumia uhuru wako wa mawazo kutujazia pumba humu JF.
Huwa napata shida kidogo zinapopigwa nyimbo za taifa za Tz, na South au Zambia pale tunapotembelewa na viongozi wa nchi hzo au viongozi wetu wanapotembelea nchi hzo au timu yetu ya taifa inapokutana na timu ya taifa ya Zambia au South Africa.

Kiasili huu wimbo wetu wa Taifa ni south Africa tumeuiba na kumodify kidogo. Sijui hata kama tuna hati miliki ya melody na verses za huu wimbo uliotungwa huko South Africa.

Tufike mahali tukubali tu ukweli kwamba tunahitaji wimbo wa taifa ufanyiwe marekebisho hata kama ni kwenye melody ya huu wimbo wetu wa sasa.

MBONA ZIMBABWE NAO WALIKUWA WANATUMIA MELODY NA HATA BAADHI YA VERSES YA HUU WIMBO WA NKOSI SIKELELI IAFRIKA (MUNGU IBARIKI AFRIKA ), LAKINI ILIFIKA MAHALI WAKAONA KWAMBA NI UPUUZI KWA NCHI NNE KUTUMIA MELODY NA VERSES SAWA KWENYE NYIMBO ZAO ZA TAIFA HIVYO WAKATUNGA WIMBO WAO MPYA WA TAIFA LA ZIMBAMBWE! SISI TUNAKAZA MAFUVU KWA IDEOLOGY ZA KIJAMAA ZILIZOPITWA NA WAKATI
 
Huu wimbo Nyerere alikopi one to one toka Nkosi Sikeleli wa ANC. Wakati umefika wa kuubadili…
 
Huwa napata shida kidogo zinapopigwa nyimbo za taifa za Tz, na South au Zambia pale tunapotembelewa na viongozi wa nchi hzo au viongozi wetu wanapotembelea nchi hzo au timu yetu ya taifa inapokutana na timu ya taifa ya Zambia au South Africa.

Kiasili huu wimbo wetu wa Taifa ni south Africa tumeuiba na kumodify kidogo. Sijui hata kama tuna hati miliki ya melody na verses za huu wimbo uliotungwa huko South Africa.

Tufike mahali tukubali tu ukweli kwamba tunahitaji wimbo wa taifa ufanyiwe marekebisho hata kama ni kwenye melody ya huu wimbo wetu wa sasa.

MBONA ZIMBABWE NAO WALIKUWA WANATUMIA MELODY NA HATA BAADHI YA VERSES YA HUU WIMBO WA NKOSI SIKELELI IAFRIKA (MUNGU IBARIKI AFRIKA ), LAKINI ILIFIKA MAHALI WAKAONA KWAMBA NI UPUUZI KWA NCHI NNE KUTUMIA MELODY NA VERSES SAWA KWENYE NYIMBO ZAO ZA TAIFA HIVYO WAKATUNGA WIMBO WAO MPYA WA TAIFA LA ZIMBAMBWE! SISI TUNAKAZA MAFUVU KWA IDEOLOGY ZA KIJAMAA ZILIZOPITWA NA WAKATI
Hiyo ndiyo falsafa ya Nyerere kuwa bila Bismark kutuwekea mipaka mwaka 1884 Afrika ilikuwa ni moja.

Kati ya nchi hizo 4 ni nani alikopi mashairi au melody ya mwenzie. Kumbuka Tanzania imepata uhuru mwaka 1961, Zambia mwaka 1964, Zimbabwe mwaka 1980 na South Africa mwaka 1994 na kuufanya wimbo wa Taifa mwaka 1997.

Enoch Sentonga alitunga wimbo wa Nkosi Sekeleli Africa mwaka 1897 kwa lugha ya Xhosa. Wakati huo South Africa ilikuwa siyo nchi moja bali territories 4; Transvaal, Cape Colony, Natal na Transvaal chini ya Waingereza na Waholanzi hadi mwaka 1910 zilipoungana na kuwa nchi moja

Ninawashangaa wanaosema tumekopi wimbo wa South Africa badala ya kusema South Africa imekopi kwa Tanzania
 
Back
Top Bottom