Nesi mkunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 701
- 1,840
ANACHOTAFUTA LISU NI KUKIMBIA NCHI KAMA KAWAIDA YAKE.
Na Thadei Ole Mushi.
Utulivu wa Akili utakusaidia kuelewa, Mihemko, Hasira na Ukada utakufanya kutokuona jambo hili la kiuchunguzi. Christina Shusho aliwahi kuimba nyimbo ya “ Nipe Macho ya nione” akiwa na maana ya kwamba kuna mambo mengine huwezi kuyaona kwa macho ya nyama tuliyonayo.
Twende Sawa hapa.
Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani alijitahidi kwa hali na mali katika kuirejesha hali ya amani na utulivu kwa wanasiasa hasa wa Upinzani waliokuwa wamepitia masahibu mengi kwenye utawala wa awamu ya Tano. Rais Samia aliwaita Mezani waongee na kuwataka hata wale waliokuwa nje ya nchi kurejea nyumbani na kuwahakikishia ulinzi na amani kwa familia zao na wao wenyewe.
Wakati maridhiano yanaanza Mh Mbowe alishambuliwa sana ndani ya Chama chake na kiuhalisia Lisu alikuwa hataki kabisa maridhiano, sio kwa bahati mbaya bali yeye bibafsi na wenzake wana mahesabu ya mbali sana ambayo vijana iyena iyena hawawezi kuona hesabu hizi za Lisu na wenzake.
:IPO HIVI: Twende Taratibu bila Jazba.
Ili uweze kupata Political asylum huko nje ya nchi ni lazima nchini kwako uwe Most wanted yaani unatafutwa ili uumizwe au unakandamizwa. Lisu, Wenje, Lema na wengineo walifanikiwa kupata political asylum kwa kuwa kwa namna moja au nyingine nchini kulikuwa na matukio ambayo yaliwakandamiza wapinzani na baadhi ya watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na Shambulio la Lisu lilirahisisha sana wanasiasa wa upinzani toka Tanzania kupokelewa kirahisi sana huko nje.
Katika mazingira ya Sasa chini ya Rais Samia wakimbizi wote wa Kisiasa wanakosa uhalali wa kuendelea kuwepo katika nchi za watu na kupewa stahiki mbalimbali.
Nilikuwa naangalia kwa Belgium ambapo Lisu alikimbilia kwa mwezi hupokea Euro 1560 za matumizi tu nje ya watoto kusomeshwa bure na incetives nyingine na kwa status yake kama kiongozi wa chama cha upinzani hiyo fedha inazidi.
Kwa Rate ya leo ya Euro moja ni 2704 Tsh ukizidisha mara Euro 1560 unapata 4,218,240 kwa mwezi ambazo hizi atakuwa hafanyi kazi zaidi ya kushinda Club House na kusoma magazeti. Narudia kwa status Yake hii fedha inaweza ku double pamoja fedha hiyo ukichanganya na Mshahara/Posho zinazotokana na Ruzuku kama makamu Mwenyekiti wa chadema si chini ya Milioni Kumi anakunja kwa Mwezi. Link ya stahiki za Mkimbizi Belgium hizi hapa.
Ni dhahiri Maridhiano yangelipoteza hili dili na ndio maana walikuwa wakali sana kwa Mbowe na wamefanikiwa kumchomoa kwenye maridhiano.
Justification ya jambo hili.
1. Ni kweli kuwa Lisu alikuwa hataki kabisa maridhiano aliyokuwa anayafanya Mwenyekiti Mbowe. Si mara moja Lisu ameyakataa maridhiano na kupinga Mkakati wa Mwenyekiti link ifuatayo ni moja ya mikutano yake aliyokuwa anakataa kabisa maridhiano.
Hata Mbowe alivyokwenda Mwanza kufanya ufunguzi wa Mikutano ya Kisiasa alilalamika kuwa wenzake hawamwelewi kwa nini anataka maridhiano na kudai kuwa ni haki yao wasimwelewe lakini hayupo tayari kumtukana Rais Samia. Alienda mbali hadi kumwalika Rais Samia kwenye Sherehe za Siku ya wanawake Duniani jambo ambalo halikufurahiwa sana na Lisu.
Link ifuatayo ni Mbowe akilalamika wenzake kutokumwelewa kuhusu Maridhiano na kwenye mkutano huo Mbowe alisema kuna watu wanataka amtukane Rais na kuahidi hata fanya jambo hilo na hakufafanua ni kina nani waliokuwa wanamshinikiza amtukane Rais
2. Jambo la Pili ambalo linathibitisha nia ya Lisu kutaka kurudi Ubelgiji ni aina ya Ukosoaji wake mkataba. Siku za karibuni amebadilisha kabisa lugha ya Kisheria iliyopo kwenye mkataba huo na kuanza kutukana. Wiki iliyopita alimwita Rais ana akili za Matope na hata anapokuwa jukwaani anaachana kabisa na Mkataba na anamuattack Rais Samia tu. Lisu anafanya hivyo si kwa kukosea anataka kuprovoke vyombo vya Dola na Rais ili wamfungulie Kesi au wamuite kumhoji na hata alipoitwa alikakataa kwenda hii yote ni kutaka kukamatwa au kutafutwa apate cha kuwaambia Ubelgiji kwa nn aendelee kuwepo Ulaya.
3. Mpaka Sasa Lisu hajarudisha Familia yake Nchini. Lema yeye alisema angalau anasubiri watoto wamalize Shule lakini Lisu bado hajasema chochote kwa nini hajawarudisha nchini, kuna Dalili sasa za kuambiwa nchini kwako kuna amani hivyo ni wakati wa kuishi nchini kwako na familia au aombe visa kama watu wengine jambo ambalo hatalimudu. Ukiona mtu anapigana vita usiyoijua ichunguze kwanza….
4. Jambo la nne la kuthibitisha hili ni mahusiano aliyokuwa nayo Rais samia na Upinzani na Mahusiano binafsi yake yeye na Lisu. Nguvu anayotumia Lisu inaleta maswali mengi ya Kujiuliza hivi ni kweli Rais Samia hafikiki na kushauriwa? Kwa nini anatumia nguvu kubwa kiasi hiki ? Kama jambo ni la kheri na kutoa tu Ushauri kuna haja gani ya Kumshambulia mtu ambaye hakujibu na wala hajawahi kukunyima kumfikia? Je ni mkataba tu au kuna mengine nyuma ya pazia? Ndio yapo Macho ya Rohoni yatakuonyesha haya…
5. Hata hili la Ney wa Mitego anatafuta Njia aliyopitia Roma Mkatoliki. Na Ney anajua wazi kuwa akianza kutafutwa au kufanyiwa chochote tutarudi kule Misri tulikotoka na yeye atapata cha kukimbia nchi. Pamoja na upole wa Rais Samia na usikivu wake bado ameendelea kushambuliwa ili tu aanze kuwatafuta wapate Sababu ya Kukimbia nchi. Kwa miaka Miwili Rais Samia ametibu vidonda vya wapinzani sana na kufanya mambo makubwa mno kwenye uchumi na huduma za kijamii unajiuliza kwa ukosoaji huu hata malaika ataiweza hii nchi? Ndipo hapo wataalamu wa mambo tunapoanza kuangalia hii fursa ya kuwa mkimbizi.
6. Baada ya uchaguzi mkuu Lisu alifanya kituko kingine cha kutafuta kuhalalisha ukimbizi wake. Hivi inakuingia akilini uje kwenye Kampeni za urais ukae siku zaidi ya 60 usikamatwe au kutengenezewa ajali huku watu wakijua utapita wapi, Utalala wapi, upo na nani halafu baada ya uchaguzi ukimbilie Ubalozini useme Magufuli anataka kukuua na kutafuta namna ya kutoroshwa kurudi Ubelgiji?
-
Hapa Lisu atatukana na kufanya attacking kwa Rais hadi apate sababu ya kukimbia. Hata ukimwangalia Mbowe anakosoa kwa ustaarabu bila kutukana, vivyo hivyo hata kwa Lema anakosoa kwa ustaarabu ila kwa Ndugu yetu huyu atataukana hadi apate Sababu.
CCM isiingie kwenye Mtego huo na badala yake iwaandikie nchi zote zenye raia waliokimbia nchi kuwa nchi imetulia hivyo raia wake warejeshwe nchini na kuwahakikishia Usalama wao.
Rais Samia ni Msikivu na Mpole sana, ana maono makubwa sana wanaotaka kuondoka nchini wasimchae au wasitafute njia ya Kumchafua Kimataifa. Lisu hafanyi haya kwa kukosea ana mipango yake ambayo kama ulikuwa Mtoro Darasani huwezi kuelewa haya yapo very Scientific kuyaelewa.
Hata Dr. Slaa kwa Sasa ni Jobless anatafuta pa kukamata ale…. Anataka akamatwe ndio maana alilitukana hadi Bunge. Ukiangalia Utulivu wa Mbowe kwenye hili jambo utanielewa vizuri zaidi.
Ole Mushi.
0712702602

Benefit in Belgium for refugees, registration and payments
How to apply for benefits in Belgium for refugees from other countries: conditions for obtaining material assistance for Ukrainians, accommodation.
welcomebelgium.icu