Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye Siasa za Bongo
Kutoa Heshima: Mbowe na Zitto
Kuweka maua: Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz
Kutoa Salam: Mbowe
Siasa ni mchezo fulani hivi so tusiwe...
Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa.
MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya...
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga...
Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais.
Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT...
Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi...
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya...
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.
Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI...
Askofu Dr Malasusa amesema katika ushuhuda mwingi wa Edward Lowasa ni pamoja na kuwa ni Mtu wa Ibada
" Wengi hawajui Kuwa mama Regina Lowassa ni Mkatoliki kweli kweli hata jana Padre amenipigia...
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu...
Jaribu kupitia vyanzo vya umeme wa tanesco kama ilivyoambatanishwa na andiko hili ili kujua panapovuja ni wapi.
Vyanzo vikuu ni kutokana na maji na gesi lakini gesi ndiyo inayoongoza.
Vituo vya...
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani.
Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha...
Salaam
Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania.
Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni...
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark.
Miongoni...
Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema
"Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari.
Nawaambia...
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari...
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini...