Ratiba ya Mazishi ya Lowassa hii hapa, hakuna nafasi ya kiongozi wa upinzani kutoa salamu za Rambirambi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,329
Screenshot_2024-02-17-00-58-08-1.png

Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi kuhudumu kwenye upinzani ni jambo la kutia aibu
 
Ccm tu hao! Msiba wa Lowassa wameuhodhi wao huku wakijafanya kupotezea walichomfanyia mzee wa watu kwenye siasa ndani na nje ya chama chao. Nje ya ccm Lowassa alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA na amewahi kugombea urais kwa chama hicho cha upinzani.

Hivyo basi upinzani nao ungepata nafasi kubwa tu katika msiba huu, ila ccm wanautumia kisiasa wakihofia CHADEMA nao kuutumia kujipatia pointi kwa wananchi. Kimsingi ilitakiwa huu msiba wa kitaifa usitawaliwe na hisia za kisiasa, msiba ni wa watanzania wote, wapinzani nao wangepatiwa nafasi kutoa salamu zao
 
Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi kuhudumu kwenye upinzani ni jambo la kutia aibu
Kwenye korido zetu, tunaita hayo "posthumous political jousting"

Mwacheni apumzike nyie wana CHADEMA kiki aliyowapa ilitosha

Kwani hamna watu wenye calibre hiyo CHADEMA? mpaka mumgombanie Mwendazake?
 
Hiyo ratiba imeandikwa na familia ya marehemu au viongozi wa Serekali?
Hii ratiba sehemu kubwa inasema wahusika Kamati ya mazishi, na sehemu ya mashada mhusika MC, nilidhani sehemu ya chai na kuwasili ukumbini iwe watu wote, na mashada wahusika wawe walioorodheshwa kuweka mashada anyway nahisi haijaandaliwa na serikali japo imebandikwa jina la Jamhuri ina mapungufu mengi ya kiuandishi
 
Chadema mnakazana kusema Lowassa alifanyiwa hila wakati wa kuchagua rais huko ccm ndio maana akahamia Chadema, lakini mkiulizwa mlimfanyia hila gani mpaka akawakimbia huko Chadema mnageuka kuwa wakali 😂
Huu ni upumbavu, alirudi ccm baada ya mwendazake kutumia dola kukandamiza maisha yake binafsi, aliwafungulia kesi za uhujumu ndugu zake wa karibu, ccm ni makatili halafu wanajifanya wacha Mungu
 
View attachment 2906382

Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi kuhudumu kwenye upinzani ni jambo la kutia aibu
Yaan cdm mnataka kumtumia marehemu, kufanya mikutano. Tatizo ni viongoz wenu, ndio wa hovyo. Lissu anaanza ujinga, oh!! marehemu baada ya, mwalimu Nyerere ndiye alikuwa, na ushawishi hapa Tz. Maoni ya kipoyoyo kabisa na kindumila kwiri. Baada, ya, kushituka na kuona kuna watu walikuwa, na ushawishi mkubwa, hata, kwenye misiba Yao walisababisha misiba mingine. Kwa kuwa, hakuwapenda, anaanza ujinga, kuacha viongoz wasio na vyeo. Yaan cdm ina, viongoz mburula sana. Mwingine, ohh nimenyimwa nafasi ya kuongea lakin lowasa, sikupendekeza, awe, mgombea. Wakati lowasa aliwapaisha. Yaan upuuz mtupu.
 
Ccm tu hao! Msiba wa Lowassa wameuhodhi wao huku wakijafanya kupotezea walichomfanyia mzee wa watu kwenye siasa ndani na nje ya chama chao. Nje ya ccm Lowassa alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA na amewahi kugombea urais kwa chama hicho cha upinzani. Hivyo basi upinzani nao ungepata nafasi kubwa tu katika msiba huu, ila ccm wanautumia kisiasa wakihofia CHADEMA nao kuutumia kujipatia pointi kwa wananchi. Kimsingi ilitakiwa huu msiba wa kitaifa usitawaliwe na hisia za kisiasa, msiba ni wa watanzania wote, wapinzani nao wangepatiwa nafasi kutoa salamu zao
Chadema watulize Ball

Lowassa ni Mwana CCM, Mtoto wa Lowassa ni Kiongozi wa CCM, Website rasmi ya Chadema ilimuweka Huyu Mzalendo Lowassa kwny orodha ya Wahalifu wakubwa zaid wa Taifa na wao walichangia sana kumchafua hadi Wapinzani wake wa kisiasa wakatumia hiyo fursa

badala ya kugombania kutoa hotuba kwny Msiba wale wanapaswa kujikita kutafakari namna bora ya kuacha kukurupuka na kuchafua watu bila ya kujiridhisha na tuhuma wanazochafua watu
 
View attachment 2906382

Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi kuhudumu kwenye upinzani ni jambo la kutia aibu
Taarrifa za uhakika zimethibitisha kwamba yuko kwenye maandamano, hatakuako mazishini 🐒

unamuwekaje asie kuwako kwenye ratiba 🐒

R I P Laigwanani comrade ENL
 
Back
Top Bottom