Picha ilianza Mbowe na Zitto, ikafuatia Mbowe, Zitto, Rostam Aziz na Bashe Ikaishia na Mbowe Peke yake. Nani sterling hapo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye Siasa za Bongo

Kutoa Heshima: Mbowe na Zitto

Kuweka maua: Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz

Kutoa Salam: Mbowe

Siasa ni mchezo fulani hivi so tusiwe serious sana

Ni ushauri tu wa Kwaresma 😀
 
Back
Top Bottom