Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,755
Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa.
MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo anafuata Makamu wa Rais na wengine kiprotokali.
Huu mpango wa kukaa umezingatia vigezo gani?