Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.

View attachment 2906552

📹 AyoTv
✍️ Mjanja M1
Mboweee sijui Lisuu amd the likes, ni wachumia tumbo wote walee kama akina Slaaa..

Ni vile watanzania wameamua kujiambia uongo kwakua hawana tumain la ukombozi but deep down they know Mbowe na Genge lake la chadema ni vibaraka tubwa ccm wasio na jema lolote kwa watanzania. Pale wako kibiashara tu. Angalau kiduchu Mnyika ndio maana hapend kujichanganya. The motive yake is real.
 
Siku zote siasa ni kama mchezo, unajua ukiwa wapi useme na kufanya nini, na ukiwa wapi pengine ufanye na kusema kitu gani

Bahati mbaya huku JF wengi huichukulia siasa kama kazi rasmi, matokeo yake ni kuwa serious muda wote, matusi, hasira, mtakuja kufa kwa pressure bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mshana jr anaamini Siasa ni Uadui 😂
 
Back
Top Bottom