Niwapongeze viongozi wa halmashauri Kasulu kwa msimamo wao. Nimpongeze kipekee yule Afisaa Uhamiaji kwa kusimama imara na kuhakikisha hatoi tamko mbele ya Makonda kuhusu Uhalali wa Uraia wa...
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya...
Ujumbe kutoka mdau huko X (formerly Twitter) kwa mheshimiwa Rais na jinsi Mwenezi anavyo mdharau kwa kutenda bila kufikiri kama asemaye "atanifanya nini".
SOMA:
special letter to her excellence...
Kuna Wakati nikikaa Najiuliza hili swali
Je ni kwanini Tulidai UHURU?
Binafsi nilidhani Tulidai UHURU ili TUENDESHE na TUJISIMAMIE MAMBO na MIPANGO yetu kama Watanzania lakini ninachokiona sasa...
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025.
Kila wakati...
Tofauti na vyama vingine vya Upinzani hawa Chadema wanaamini katika.Mungu wa mbinguni, hawanaga Ushirikina kabisa
Kwa mfano niliona clip Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani Zanzibar akiwa Kigoma...
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu...
Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe.
Kwa...
Ifikapo 2021 Tanzania tutakua na umeme wakutosha na mpaka mwengine tutauza nje ya nchi alisikika kiongozi mmoja akisema hivyo lakini leo 2024 umeme unakatika kuanzia. Saa 12 asubuhi mpaka saa sita...
Nisikuchoshe
Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki?
Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho leo kwa watu wote Duniani, kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za kisasa za chama hicho zilizopo Nyegezi.
Bila shaka Ratiba ya...
Viongozi wa mapambano ya uhuru walifanya yote yale ili waishi maisha waliyokuwa wanaona wakoloni wanaishi. Waliudanganya umma kuwa wanapigania maslahi ya umma lakini ulikuwa uongo mtupu.
Baada...
Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake
Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia...
Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa...
Cde. Shemsa Mohamed: CCM Yapokea Wanachama Wapya 100 Busega
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea Wananchama wapya 100 kutoka kata ya Nyaruhande wilayani Busega Mkoani Simiyu baada ya kuridhisha na...
Hii nchi imejaa raia wasio jitambua kabisa na wajinga wajinga pia, ni ujinga kulaumu TANESCO na Waziri wa nishati na kumuacha mhusika mkuu ambaye ni Raisi.
Raisi ni mtu pekee wa kulaumu kwa hii...
Mwezi mmoja 237,000,000 X 1=237,000,000
Miezi Sita 237,000,000 X 6=1,422,000,000
Mwaka mmoja (miezi 12) 237,000,000 X 12= 2,844,000,000.
Swali: Serikali inahaja ya kutoa ruzuku kwa vyama...
Hebu fikiria nchi kama Kongo inapigana Vita miaka na miaka lakini timu yao ya taifa imeingia Nusu fainali mashindano ya mataifa huru Africa.
Tanganyika imetolewa mapema ikiwapeleka akina Mwijaku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.