Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.

Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Kitenge angepotezea tu. Kwenye siasa hayo ni mambo ya kawaida. Kama CHADEMA waliweza kumpaka matope Lowasa kwa miaka kadhaa lakini baadae ndo wakaja kumsafisha hata kwa Makonda ni kupotezea tu. Makonda ana tofauti gani na Lema, Mbowe, Mnyika, Lissu, Heche, na waandamizi wengine wa CHADEMA waliokuwa wakimwandama EL?
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.

Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Sas huko ni kumuongelea vibaya mtu au kusema ukweli 😂😂😂
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.

Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Makonda anachekesha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom