Tunaishukuru Serikali kwa kusikia kilio cha Wananchi na hatimaye kuweza kuagiza sukari toka nje ya nchi kufidia upungufu uliojitokeza. Ninaishauri Serikali kuwa sukari yote iliyoagizwa kwanza...
Mwenezi wa CCM Paul Makonda ameendelea kukiwasha huko Katavi akisema ccm haitavumia Wala kukubaki uzembe wa viongozi au Watendaji wa Serikali ambao hawatimizi wajibu wao na kwamba hawako tayari...
HERI YA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Historia inaturudisha nyuma tarehe 5 Februari, 1977 baada ya kuungana kwa Vyama vya Tanganyika African National Uniona (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania...
Samahani Kamanda Tundu Lisu nimekusikia ukisema kupitia Maridhiano mlikubaliana Kesi za Mchongo zote zifutwe na wewe binafsi umeshafutiwa Kesi 6
Ndio nauliza Kesi ya yule dogo Sanga ni miongoni...
Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police...
Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu.
Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu...
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amemtaka Afisa Madini Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja kuhakikisha anafuata sheria na taratibu za kuhakikisha utoaji...
Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa 2024 na 2025, inaonekana Kuna mbinu ambazo Samia amezitumia ili kushinda huo uchaguzi.
1. Strategy ya kisheria, Muswada wa Tume Huru ya Uchaguzi feki:
Ili kupata...
KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema...
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa...
Na Thadei Ole Mushi.
Wizara imetoa taarifa kwa Umma kuhusu kuahirishwa kwa match ya Simba na Yanga. Kwenye taarifa hiyo wameorodhesha mambo waliyojadili na kukubaliana.
1. Match hiyo irudiwe...
Mwanasiasa Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo katika Kanisa la Ebenezer...
Salaam, Shalom,
Itakumbukwa kuwa, uteuzi wa Katibu Mwenezi wa CCM, ulifanyika siku ya utiaji Saini kati ya Serikali na Kampuni ya DP World, hatujasahau Bado!!!
Hivi sasa tunaona ziara na...
Hapa JF Mhe. Dkt. Dorothy Gwajjma ndiye Waziri pekee aliyeactive na humble hivyo sina shaka utanipa majibu.
Toka uhuru hadi sasa: Umeme, Maji, Mahospitali, Barabara, Madarasa, Vipato vya watu...
Mkuu wa Wilaya ya Mjini AMBAE pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Mjini amepiga marufuku Kwa Watu wa jamii ya kimasai kutembea na SIME na RUNGU Kwa hofu ya uvunjifu wa...
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia...
Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.