Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
Salaam
Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania.
Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara
Ni muda sasa umepita ikiwa inaelekea miaka mitatu tangu tozo za miamala zianzishwe.
Soma: Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?
Nina maswali machache:
Je, lengo la kuletwa kwa tozo linaendelea?
Barabara za vijijini zinatengenezwa kama tulivyoahidiwa?
Ikiwa tozo ulikuwa mpango wa dharura zinaondolewa lini?