Tanzania na China zasaini Mkataba wa miundombinu ya uhifadhi wa Ngorongoro-Lengai Geopark. Hatusikii kelele kwa sababu sio Mwarabu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark.

Miongoni mwa miundombinu itakayojengwa ni Vituo vya Utalii, vyoo vya wageni, Makumbusho nk.

Inakuaje sisi Watanzania Kila kamradi lazima tuwape wageni? Hivi ni kweli hapa Tanzania hakuna wakandarasi wanaoweza Kutekekeza Mradi wa Bilioni 25? Sheria ya Fedha mliyosema mmefunga inayowapa wazawa miradi ya Bilioni 50 ni pambo au? Kwa nini tuna mentality za kipumbavu hivi? Aibu kubwa Kwa Serikali.

View: https://twitter.com/CRCCNews/status/1759513305868386755?t=VlxWem65p7peeaCyz2FuIg&s=19

My Take
TEC mko wapi? Au Kwa kuwa mradi huu kwenye Hifadhi unahusisha Wachina hauwezi kusikia kelele za Wanaojiita wanaharakati au Machadema au wale wanaojifajyaga kuwa na uchungu wa Mali za Umma. Kumbe tatizo huwa ni Mwarabu.

======

Ngorongoro.png

The government, through the Ngorongoro Conservation Authority (NCAA), has signed an agreement with the government of China aimed at continuing with the implementation of the Ngorongoro-Lengai Geopark project.

A statement released to The Citizen over the weekend said the project, worth Sh25 billion, was signed by the Conservation Commissioner of the NCAA, Richard Kiiza, and the acting ambassador of China to Tanzania Chu Kun.

The project includes the construction of the tourism infrastructure in Miamba (Geopark) and is expected to be completed by June 2025.

The Senior Assistant Commissioner for Conservation in charge of Cultural Heritage and Geology, Joshua Mwankunda, said that the construction will also involve the infrastructure of a large and modern geological museum and guest toilets in the Empakaai crater, as well as the restoration of the footprints of ancient humans located in Laetoli.

Further, he noted that the construction will also include tourist viewing platforms in the areas of Empakaai, Seneto, and Oldoinyo Lengai, and a dedicated facility for research and tourism, allowing visitors to explore the ancient footprints in Laetoli. Infrastructure will also be established to offer insightful interpretations of geological tourism resources at approximately 100 sites," he said.

Ngorongoro-Lengai is currently the only geopark in sub-Saharan Africa and the second in Africa. Rock and landscape tourism is a new type of tourism that attracts many visitors to the world at the moment.

SOURCE: The Citizen
 
Tatizo huna akili.

Nauhakika haufahamu sana unachojaribu kuweka hapa?

Hata unafahamu Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark ni kitu gani?

Kama hufahamu kuja nikupatie darasa.

Kwanza kabisa zipo Geopark 2 pekee hapa African zinazotambuliwa na UNESCO.

Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark hapa Arusha na Draa Tafilalet huko Morocco.

Kimsingi Ngorongoro Lengai Geopark ni eneo kubwa hii inatia ndani wilaya yote ya Ngorongoro, Karatu, Monduli na Longido bila shaka.

Kuanzia mipaka ya mbuga ya taifa ya Serengeti upande wa kaskazini na kaskazini magharibi hadi Lake Natron upande wa east.

Pia imepakana na bonde la ufa kwa upande wa kusini na magharibi kuna Maswa game reserve.

Vivutio vikuu kwenye hii Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark ni

1. Mlima Oldonyo Lengai, ambao ni active volcano lakini pia inatoa natro carbonatite lava na hakuna mlima wa kivolkaniki unasifa hii.

2. Oldupai Gorge.
Hi ndiyo sehemu maarufu zaidi ya paleontological site in the entire world.

Ukiwa pale utaona exposed volcanic beds zinazoonyesha kuundwa zaidi ya miaka 2 milioni iliyopita lakini pia hakuna sehemu nyigine DUNIANI inayoonyesha kwa uhakika zaidi masalia ya hominids wa kale zaidi.

Pia hapa kuna masalia ya vitendea kazi enzi za kati na za mwisho za mawe.

Unaelewa wewe kilaza unaejiita ChoiceVariables?

3. Laitoli

Watu wanasikia Laitoli lakini hawafahamu hasa umaarufu wake ni nini.

Ukiwa pale Oldupai Gorge musium site ni mwendo kama 40kms hivi kufika.

Laitoli ndipo zilipo nyayo za mtu wa kale zaidi (hominids)

4. Pia Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark inajumuisha tamaduni za jamii za kimaasai, Iraqwi, Datoga/Mang'ati.

Nikirudi kwa wachina kupewa tender.

Mchina hapewi kuendesha hizi sites wewe kilaza.

Unajaribu kufananisha mambo mawili yasiyofanana.

Shenzi waheed.
 
Tatizo huna akili.

Nauhakika haufahamu sana unachojaribu kuweka hapa?

Hata unafahamu Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark ni kitu gani?

Kama hufahamu kuja nikupatie darasa.

Kwanza kabisa zipo Geopark 2 pekee hapa African zinazotambuliwa na UNESCO.

Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark hapa Arusha na Draa Tafilalet huko Morocco.

Kimsingi Ngorongoro Lengai Geopark ni eneo kubwa hii inatia ndani wilaya yote ya Ngorongoro, Karatu, Monduli na Longido bila shaka.

Kuanzia mipaka ya mbuga ya taifa ya Serengeti upande wa kaskazini na kaskazini mashariki hadi Lake Natron upande wa east.

Tatizo sio Mwarabu ndio maana hampigi kelele
 
Nimekuuliza unaelewa unachoandika?

Watu wanaku zoom tu unavyotapika ujinga hapa JF.

For some seasons wewe unadhani ni sifa lakini zaidi unazidi tu kutuonyesha tako lako jeusi na hiyo chupi nyekundu iliyotoboka.

Sikiliza dada.

Umalaya wa kisiasa hauwezi kukupeleka popote.

Jambo la muhimu unaloweza kufanya ni kutetea maslahi ya Watanzania na si vibaka unaodhani watakupatia kula yako baada ya kuku mbato.

Unanielewa lakini?
 
Msamehe tu huyo chawa, vitu vinavyohusu maslahi ya watanzania wao huwa wanaona bora wanasiasa uchwara kuvifisadi huku chawa hawa wao wakibaki na njaa kali sana
 
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark.

Miongoni mwa miundombinu itakayojengwa ni Vituo vya Utalii, vyoo vya wageni, Makumbusho nk.

Inakuaje sisi Watanzania Kila kamradi lazima tuwape wageni? Hivi ni kweli hapa Tanzania hakuna wakandarasi wanaoweza Kutekekeza Mradi wa Bilioni 25? Sheria ya Fedha mliyosema mmefunga inayowapa wazawa miradi ya Bilioni 50 ni pambo au? Kwa nini tuna mentality za kipumbavu hivi? Aibu kubwa Kwa Serikali.

My Take
TEC mko wapi? Au Kwa kuwa mradi huu kwenye Hifadhi unahusisha Wachina hauwezi kusikia kelele za Wanaojiita wanaharakati au Machadema au wale wanaojifajyaga kuwa na uchungu wa Mali za Umma. Kumbe tatizo huwa ni Mwarabu.

======

The government, through the Ngorongoro Conservation Authority (NCAA), has signed an agreement with the government of China aimed at continuing with the implementation of the Ngorongoro-Lengai Geopark project.

A statement released to The Citizen over the weekend said the project, worth Sh25 billion, was signed by the Conservation Commissioner of the NCAA, Richard Kiiza, and the acting ambassador of China to Tanzania Chu Kun.

The project includes the construction of the tourism infrastructure in Miamba (Geopark) and is expected to be completed by June 2025.

The Senior Assistant Commissioner for Conservation in charge of Cultural Heritage and Geology, Joshua Mwankunda, said that the construction will also involve the infrastructure of a large and modern geological museum and guest toilets in the Empakaai crater, as well as the restoration of the footprints of ancient humans located in Laetoli.

Further, he noted that the construction will also include tourist viewing platforms in the areas of Empakaai, Seneto, and Oldoinyo Lengai, and a dedicated facility for research and tourism, allowing visitors to explore the ancient footprints in Laetoli. Infrastructure will also be established to offer insightful interpretations of geological tourism resources at approximately 100 sites," he said.

Ngorongoro-Lengai is currently the only geopark in sub-Saharan Africa and the second in Africa. Rock and landscape tourism is a new type of tourism that attracts many visitors to the world at the moment.

SOURCE: The Citizen
vibaraka pamoja na wafadhili wao wa huko Magharibi wanaigwaya sana china hawawezi gusa wala kusogelea maslahi yake 🐒
 
Tatizo huna akili.

Nauhakika haufahamu sana unachojaribu kuweka hapa?

Hata unafahamu Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark ni kitu gani?

Kama hufahamu kuja nikupatie darasa.

Kwanza kabisa zipo Geopark 2 pekee hapa African zinazotambuliwa na UNESCO.

Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark hapa Arusha na Draa Tafilalet huko Morocco.

Kimsingi Ngorongoro Lengai Geopark ni eneo kubwa hii inatia ndani wilaya yote ya Ngorongoro, Karatu, Monduli na Longido bila shaka.

Kuanzia mipaka ya mbuga ya taifa ya Serengeti upande wa kaskazini na kaskazini mashariki hadi Lake Natron upande wa east.

Pia imepakana na bonde la ufa kwa upande wa kusini na magharibi kuna Maswa game reserve.

Vivutio vikuu kwenye hii Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark ni

1. Mlima Oldonyo Lengai, ambao ni active volcano lakini pia inatoa natro carbonatite lava na hakuna mlima wa kivolkaniki unasifa hii.

2. Oldupai Gorge.
Hi ndiyo sehemu maarufu zaidi ya paleontological site in the entire world.

Ukiwa pale utaona exposed volcanic beds zinazoonyesha kuundwa zaidi ya miaka 2 milioni iliyopita lakini pia hakuna sehemu nyigine DUNIANI inayoonyesha kwa uhakika zaidi masalia ya hominids wa kale zaidi.

Pia hapa kuna masalia ya vitendea kazi enzi za kati na za mwisho za mawe.

Unaelewa wewe kilaza unaejiita ChoiceVariables?

3. Laitoli

Watu wanasikia Laitoli lakini hawafahamu hasa umaarufu wake ni nini.

Ukiwa pale Oldupai Gorge musium site ni mwendo kama 40kms hivi kufika.

Laitoli ndipo zilipo nyayo za mtu wa kale zaidi (hominids)

4. Pia Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark inajumuisha tamaduni za jamii za kimaasai, Iraqwi, Datoga/Mang'ati.

Nikirudi kwa wachina kupewa tender.

Mchina hapewi kuendesha hizi sites wewe kilaza.

Unajaribu kufananisha mambo mawili yasiyofanana.

Shenzi waheed.
daaaaah......hapa umenimaliza kabisa maana nilitaka nianze kuwatukana nyie makafir lakini nilipokuja kusoma hapa nikaona acha sasa nitumie akili maana isionekan sisi wakati wote tunakurupuka au kulalamika lalamika tu kama mama alokosa mwana. nimekuelewa.
 
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark.

Miongoni mwa miundombinu itakayojengwa ni Vituo vya Utalii, vyoo vya wageni, Makumbusho nk.

Inakuaje sisi Watanzania Kila kamradi lazima tuwape wageni? Hivi ni kweli hapa Tanzania hakuna wakandarasi wanaoweza Kutekekeza Mradi wa Bilioni 25? Sheria ya Fedha mliyosema mmefunga inayowapa wazawa miradi ya Bilioni 50 ni pambo au? Kwa nini tuna mentality za kipumbavu hivi? Aibu kubwa Kwa Serikali.

My Take
TEC mko wapi? Au Kwa kuwa mradi huu kwenye Hifadhi unahusisha Wachina hauwezi kusikia kelele za Wanaojiita wanaharakati au Machadema au wale wanaojifajyaga kuwa na uchungu wa Mali za Umma. Kumbe tatizo huwa ni Mwarabu.

======

The government, through the Ngorongoro Conservation Authority (NCAA), has signed an agreement with the government of China aimed at continuing with the implementation of the Ngorongoro-Lengai Geopark project.

A statement released to The Citizen over the weekend said the project, worth Sh25 billion, was signed by the Conservation Commissioner of the NCAA, Richard Kiiza, and the acting ambassador of China to Tanzania Chu Kun.

The project includes the construction of the tourism infrastructure in Miamba (Geopark) and is expected to be completed by June 2025.

The Senior Assistant Commissioner for Conservation in charge of Cultural Heritage and Geology, Joshua Mwankunda, said that the construction will also involve the infrastructure of a large and modern geological museum and guest toilets in the Empakaai crater, as well as the restoration of the footprints of ancient humans located in Laetoli.

Further, he noted that the construction will also include tourist viewing platforms in the areas of Empakaai, Seneto, and Oldoinyo Lengai, and a dedicated facility for research and tourism, allowing visitors to explore the ancient footprints in Laetoli. Infrastructure will also be established to offer insightful interpretations of geological tourism resources at approximately 100 sites," he said.

Ngorongoro-Lengai is currently the only geopark in sub-Saharan Africa and the second in Africa. Rock and landscape tourism is a new type of tourism that attracts many visitors to the world at the moment.

SOURCE: The Citizen
Msaburi kweli. Mikataba yote yenye utata iliyokuwa inapingwa awamu zote zilizopita ni ya waarabu?
 
Nimekuuliza unaelewa unachoandika?

Watu wanaku zoom tu unavyotapika ujinga hapa JF.

For some seasons wewe unadhani ni sifa lakini zaidi unazidi tu kutuonyesha tako lako jeusi na hiyo chupi nyekundu iliyotoboka.

Sikiliza dada.

Umalaya wa kisiasa hauwezi kukupeleka popote.

Jambo la muhimu unaloweza kufanya ni kutetea maslahi ya Watanzania na si vibaka unaodhani watakupatia kula yako baada ya kuku mbato.

Unanielewa lakini?
Kumbe Wewe una tako jeupe,ngoja tuje in box
 
Back
Top Bottom