Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema

"Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari.

Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA tunawasilisha hisia za mamilioni ya watu hawa."
 
Hakuna wanachadema mwenye akili timamu

Screenshot_20240213-222207.png

20240209_152947.jpg
 
Mwanasiasa sio mtu wa Mchezo mchezo

alipewa kandarasi ya miaka 7 kuutangazia Umma kuwa Mmasai ni Fisadi na akaifanya kwa ufanisi kuliko kazi yoyote nyingine

akapewa tena kandarasi ya Miaka 6 ya kumtangaza Ngosha kuwa ni Dikteta

akiwa kwny Public hujifanya anaempaga Kandarasi kuwa ni Adui yake

walipofurushwa na Ngosha walimtumia kuwasaidia kupata hifadhi nje ya Nchi na ngosha alipokatwa kichwa wakamtumia tena kuwasaidia kurudi

sasa hivi wanatumika tena kusaidia kupatikana kwa fedha za Millenium challenge
 
Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?

Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.

Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
 
FB_IMG_1589397986327.jpg

Unaumia ukiwa wapi ?
 
Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?

Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.

Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
Hujui kitu
 
Acha upumbavu hii nchi sio ya mtu amejimiliki yake ni ya WaTanzania wenye kuhitaji HAKI na amani .
Hizo 4R bado hazijqkqq Sawa na kwa haki na laIma zidaiwe kwa namna yeyote Ile.
Katiba na Tume huru sio blablaah! Acha kuwa chawa!.
Unajadili mada gani? Umekosea njia . Au hujasoma kichwa cha habari vizuri?
 
Back
Top Bottom