Dr Feleshi umewalenga wanasiasa, Prof Juma Mahakamani ni kuchafu zaidi

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake). Basi Mwanasheria yule alipata ugumu sana kuelezea taratibu za kisheria ili Makonda aelewe. Basi ni bahati tu yule Mwanasheria hakutaka kuwa mtata - ingekuwa wengine - sijui ingekuwaje pale.
Dr. Feleshi jana ukachana live kuwa Makonda anachofanya sio sahihi - that is not a rule of law. Chama - tena Chama tu na wala sio Serikali wala bunge, kinaingia ndani - yaani kule ndani ndani ndani kabisa kuanza kuamua kesi za Mahakamani. Mbaya sana hii.
Siku ingine Makonda akamtaka eti Bashe akasimamie MaOfisa Kilimo - Du! Yaani kuna Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, kuna RAS, MADED na viongozi wengine wa Kiserikali wanapaswa kufanya hilo lkin Makonda kamlenga Bashe - kama sio visa ni nini sasa. Yaani kamtaja kwa jina kabisa Bashe - angaalau hata angetaja kwa wadhifa basi. Makonda huyu huyu jamani.
Mie kimchepuko changu mwaka 2018 kilinipeleka kwa Makonsa eti nimegoma kukigharamia kikiwa na mwanangu - nikaitwa kwa Makonda Kinondoni - sikwenda na kwa tambo kubwa nikatangaza nisingeenda, na ukweli sikwenda na Makonda hakufanya kitu na mpaka sasa hajanifuata tena, na sijui limeishia wapi kwani ilinibidi sasa hata matunzo yake nistop mpaka hapa juzi nilivyoamua kwenda kumchukua mwanangu na kumleta kwangu na kumwacha huyo mchepuko ukihangaika kwa ujinga wake mpaka leo.
Prof. Ibrahim Juma - Mahakamani kwako nadharia ni nyingi kuliko vitendo. Mf. kesi moja ipo hapa Dodoma Chamwino - mbaba wa watu jirani yetu kule Chinagangali anasumbuliwa kila kona na shemeji yake eti kwa kuwa shemeji yake huyo hakuzaa na mdogo wake. Limama hilo toka Kigoma linapiga ndumba na kuhonga isisvyo kawaida. Kuanzia Baraza la Ardhi huyo mama alihonga kesi ikasikilizwa upande mmoja na Mahakama ya Mwanzo akamlambisha tena Hakimu wa pale na uamuzi ukatoka pale ukiwa na mambo ambayo hata pande zinazogambana hazikusema. Yaani kesi hiyo ipo wazi na inavuta sana hisia yule baba asingekuwa mtu wa Mungu angeshazirusha ngumi nyingi sana Mahakamani. Kwa kifupi sana, nikiacha pembeni, kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.
 
Kwa Jaji anayejitambua kile kitendo Cha wapinzani kutofungua kesi kwenye mahakama yoyote, huku uchaguzi wa 2019 na 2020 ukiwa na umechezewa vile, angejuhudhulu tu. Lakini Hadi Leo Yuko na Sasa malalamiko yanapelekwa nje ya mfumo wa mahakama, amebaki kuleta story zisizo na kichwa Wala miguu.
 
Yule ni Prof wa hovyo kabisa na hana mshipa wa aibu hata kidogo
 
Kwa Jaji anayejitambua kile kitendo Cha wapinzani kutofungua kesi kwenye mahakama yoyote, huku uchaguzi wa 2019 na 2020 ukiwa na umechezewa vile, angejuhudhulu tu. Lakini Hadi Leo Yuko na Sasa malalamiko yanapelekwa nje ya mfumo wa mahakama, amebaki kuleta story zisizo na kichwa Wala miguu.
Tokea ameongezewa muda kinyemela ndiyo mdomo kaziba kabisa!
 
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake). Basi Mwanasheria yule alipata ugumu sana kuelezea taratibu za kisheria ili Makonda aelewe. Basi ni bahati tu yule Mwanasheria hakutaka kuwa mtata - ingekuwa wengine - sijui ingekuwaje pale.
Dr. Feleshi jana ukachana live kuwa Makonda anachofanya sio sahihi - that is not a rule of law. Chama - tena Chama tu na wala sio Serikali wala bunge, kinaingia ndani - yaani kule ndani ndani ndani kabisa kuanza kuamua kesi za Mahakamani. Mbaya sana hii.
Siku ingine Makonda akamtaka eti Bashe akasimamie MaOfisa Kilimo - Du! Yaani kuna Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, kuna RAS, MADED na viongozi wengine wa Kiserikali wanapaswa kufanya hilo lkin Makonda kamlenga Bashe - kama sio visa ni nini sasa. Yaani kamtaja kwa jina kabisa Bashe - angaalau hata angetaja kwa wadhifa basi. Makonda huyu huyu jamani.
Mie kimchepuko changu mwaka 2018 kilinipeleka kwa Makonsa eti nimegoma kukigharamia kikiwa na mwanangu - nikaitwa kwa Makonda Kinondoni - sikwenda na kwa tambo kubwa nikatangaza nisingeenda, na ukweli sikwenda na Makonda hakufanya kitu na mpaka sasa hajanifuata tena, na sijui limeishia wapi kwani ilinibidi sasa hata matunzo ya mtoto nistop mpaka hapa juzi nilivyoamua kwenda kumchukua mwanangu na kumleta kwangu na kumwacha huyo mchepuko ukihangaika kwa ujinga wake mpaka leo.
Prof. Ibrahim Juma - Mahakamani kwako nadharia ni nyingi kuliko vitendo. Mf. kesi moja ipo hapa Dodoma Chamwino - mbaba wa watu jirani yetu kule Chinagangali anasumbuliwa kila kona na shemeji yake eti kwa kuwa shemeji yake huyo hakuzaa na mdogo wake. Limama hilo toka Kigoma linapiga ndumba na kuhonga isisvyo kawaida. Kuanzia Baraza la Ardhi huyo mama alihonga kesi ikasikilizwa upande mmoja na Mahakama ya Mwanzo akamlambisha tena Hakimu wa pale na uamuzi ukatoka pale ukiwa na mambo ambayo hata pande zinazogambana hazikusema. Yaani kesi hiyo ipo wazi na inavuta sana hisia yule baba asingekuwa mtu wa Mungu angeshazirusha ngumi nyingi sana Mahakamani. Kwa kifupi sana, nikiacha pembeni, kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.
Mwambie Feleshi kwamba malalamiko ya Wananchi yanatokana na Rushwa iliyokithiri kwenye mhimili wa mahakama!!

Yeye na Prof Juma ni chanzo Cha Wananchi kutafuta faraja kwenye mamlaka ya kisiasa!!

Wananchi wanatambua kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewateua wote hao akiwemo Fereshi. Wanapokimbilia CCM asichukie.

Kwa kifupi Feleshi amepewa rushwa na Wahuni ili amchafue Makonda. Tunajua sana
 
Kwaiyo ulitelekeza mtoto kwa mchepuko na unajisifia humu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufupi wake, haka ka nchi kananuka! Msemo wa Nyerere. Na wanaokanukisha hawana aibu kabisa. Ati kwa sababu Upinzani haukufungua kesi Mahakamani, kwa hiyo Spika anatamka Bungeni kuwa hakukuwa na wizi wa kura Uchaguzi wa 2020. Spika haoni kuwa imani ya walalamikaji (Wabunge watarajiwa waliofanyiwa rafu) katika Mahakama ya kipindi hicho ndiyo hawakuwa na imani na mahakamaha kuliko kipindi cho chote cha chaguzi za awali.
 
Mwambieni Feleshi, Hatuwezi kusubiri haki kwenye mahakama ambazo haohao ndio Kila siku wanawaachia wenye Pesa hata kama wameua !!.

Makonda achape kazi , Sheria katika Nchi ya Rushwa, ni msumeno unaokata masikini.
 
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake). Basi Mwanasheria yule alipata ugumu sana kuelezea taratibu za kisheria ili Makonda aelewe. Basi ni bahati tu yule Mwanasheria hakutaka kuwa mtata - ingekuwa wengine - sijui ingekuwaje pale.
Dr. Feleshi jana ukachana live kuwa Makonda anachofanya sio sahihi - that is not a rule of law. Chama - tena Chama tu na wala sio Serikali wala bunge, kinaingia ndani - yaani kule ndani ndani ndani kabisa kuanza kuamua kesi za Mahakamani. Mbaya sana hii.
Siku ingine Makonda akamtaka eti Bashe akasimamie MaOfisa Kilimo - Du! Yaani kuna Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, kuna RAS, MADED na viongozi wengine wa Kiserikali wanapaswa kufanya hilo lkin Makonda kamlenga Bashe - kama sio visa ni nini sasa. Yaani kamtaja kwa jina kabisa Bashe - angaalau hata angetaja kwa wadhifa basi. Makonda huyu huyu jamani.
Mie kimchepuko changu mwaka 2018 kilinipeleka kwa Makonsa eti nimegoma kukigharamia kikiwa na mwanangu - nikaitwa kwa Makonda Kinondoni - sikwenda na kwa tambo kubwa nikatangaza nisingeenda, na ukweli sikwenda na Makonda hakufanya kitu na mpaka sasa hajanifuata tena, na sijui limeishia wapi kwani ilinibidi sasa hata matunzo ya mtoto nistop mpaka hapa juzi nilivyoamua kwenda kumchukua mwanangu na kumleta kwangu na kumwacha huyo mchepuko ukihangaika kwa ujinga wake mpaka leo.
Prof. Ibrahim Juma - Mahakamani kwako nadharia ni nyingi kuliko vitendo. Mf. kesi moja ipo hapa Dodoma Chamwino - mbaba wa watu jirani yetu kule Chinagangali anasumbuliwa kila kona na shemeji yake eti kwa kuwa shemeji yake huyo hakuzaa na mdogo wake. Limama hilo toka Kigoma linapiga ndumba na kuhonga isisvyo kawaida. Kuanzia Baraza la Ardhi huyo mama alihonga kesi ikasikilizwa upande mmoja na Mahakama ya Mwanzo akamlambisha tena Hakimu wa pale na uamuzi ukatoka pale ukiwa na mambo ambayo hata pande zinazogambana hazikusema. Yaani kesi hiyo ipo wazi na inavuta sana hisia yule baba asingekuwa mtu wa Mungu angeshazirusha ngumi nyingi sana Mahakamani. Kwa kifupi sana, nikiacha pembeni, kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.
Na wewe ni wale wale tu.

Watu wanahangaika, mahali pakutolea kero zao hakuna.

Rais mwenyewe hata akifanya ziara alishapiga marufuku mabango wala malalamiko, watu watabaki na makovu yasiyopona mioyoni mwao hadi lini.

Majaliwa aliyekuwa anawajambisha mafisadi naye mlishamtoa fyuzi na kubakia ni bomu bandia la mafunzo lisiloweza kulipuka!

Ni heri ya Makonda kusikiliza watu na kusikia kero zai tunazozisikia keo mitandaoni zikiwekwa wazi, kuliko taasisi zozote za kiserikali zenye nandate ya kuwajibika na ustawi wa raia zisizo wajibika.

Mahakamani unakokusema wewe hakuna cha haki wala nini, rushwa na kupindisha haki ndiyo vipaumbele. vyao.

Kuzaa na mwanamke mchepuko kisha kumtelekeza kuongeza idadi ya watoto wa mitaani na kuja kujigamba kwa kuonesha kutokuwajibika kwa matunzo ya mtoto wako ni aina ya mtu mfano wa viongozi wa hovyo wanaopigiwa kelele kwa madhila wanayowaletea wananchi kwa kutokuwajibika kwao ama kuminya haki za watu.
 
Mwambie Feleshi kwamba malalamiko ya Wananchi yanatokana na Rushwa iliyokithiri kwenye mhimili wa mahakama!!

Yeye na Prof Juma ni chanzo Cha Wananchi kutafuta faraja kwenye mamlaka ya kisiasa!!

Wananchi wanatambua kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye anayewateua wote hao akiwemo Fereshi. Wanapokimbilia CCM asichukie.

Kwa kifupi Feleshi amepewa rushwa na Wahuni ili amchafue Makonda. Tunajua sana
Na hatamuweza..
 
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake). Basi Mwanasheria yule alipata ugumu sana kuelezea taratibu za kisheria ili Makonda aelewe. Basi ni bahati tu yule Mwanasheria hakutaka kuwa mtata - ingekuwa wengine - sijui ingekuwaje pale.
Dr. Feleshi jana ukachana live kuwa Makonda anachofanya sio sahihi - that is not a rule of law. Chama - tena Chama tu na wala sio Serikali wala bunge, kinaingia ndani - yaani kule ndani ndani ndani kabisa kuanza kuamua kesi za Mahakamani. Mbaya sana hii.
Siku ingine Makonda akamtaka eti Bashe akasimamie MaOfisa Kilimo - Du! Yaani kuna Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, kuna RAS, MADED na viongozi wengine wa Kiserikali wanapaswa kufanya hilo lkin Makonda kamlenga Bashe - kama sio visa ni nini sasa. Yaani kamtaja kwa jina kabisa Bashe - angaalau hata angetaja kwa wadhifa basi. Makonda huyu huyu jamani.
Mie kimchepuko changu mwaka 2018 kilinipeleka kwa Makonsa eti nimegoma kukigharamia kikiwa na mwanangu - nikaitwa kwa Makonda Kinondoni - sikwenda na kwa tambo kubwa nikatangaza nisingeenda, na ukweli sikwenda na Makonda hakufanya kitu na mpaka sasa hajanifuata tena, na sijui limeishia wapi kwani ilinibidi sasa hata matunzo ya mtoto nistop mpaka hapa juzi nilivyoamua kwenda kumchukua mwanangu na kumleta kwangu na kumwacha huyo mchepuko ukihangaika kwa ujinga wake mpaka leo.
Prof. Ibrahim Juma - Mahakamani kwako nadharia ni nyingi kuliko vitendo. Mf. kesi moja ipo hapa Dodoma Chamwino - mbaba wa watu jirani yetu kule Chinagangali anasumbuliwa kila kona na shemeji yake eti kwa kuwa shemeji yake huyo hakuzaa na mdogo wake. Limama hilo toka Kigoma linapiga ndumba na kuhonga isisvyo kawaida. Kuanzia Baraza la Ardhi huyo mama alihonga kesi ikasikilizwa upande mmoja na Mahakama ya Mwanzo akamlambisha tena Hakimu wa pale na uamuzi ukatoka pale ukiwa na mambo ambayo hata pande zinazogambana hazikusema. Yaani kesi hiyo ipo wazi na inavuta sana hisia yule baba asingekuwa mtu wa Mungu angeshazirusha ngumi nyingi sana Mahakamani. Kwa kifupi sana, nikiacha pembeni, kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.
Kwa hiyo wewe unadhani waziri akiambiwa akasimamie basi unadhani akasimame yeye shambani nyuma ya afisa kilimo?
Mnakula nini kinachishusha uelewa kiasi hiki?
 
Feleshi ama kwa makusudi au kwa kutokujua kaamua kuweka wazi uozo wa serikali, mahakama na yeye mwenyewe akiwemo. Wananchi hawana Imani na serikali yao wala mahakama zao. Wameamua kutafuta nafuu kwa Makonda bila kujua nae hana mamlaka mbali na porojo za majukwaani.

Tangu mwanzo hasa kwenye mashahuri ya kisiasa na wanasiasa ilionyesha wazi mahakama haipo huru. Jaji mkuu sijuhi ni kwanini ameshidwa kujitathimini ili kulinda heshima.
 
Mwambieni Feleshi, Hatuwezi kusubiri haki kwenye mahakama ambazo haohao ndio Kila siku wanawaachia wenye Pesa hata kama wameua !!.

Makonda achape kazi , Sheria katika Nchi ya Rushwa, ni msumeno unaokata masikini.
Kwa akili yako Makonda anaweza kuingilia maamuzi ya mahakama ama kubatilisha chochote kilichoamriwa na mahakama?
 
tukisema hapa makonda ni kama nani kuingilia mambo ambayo sio jukumu lake ndani ya serikali wenye utumbo unao kaa kinyesi wanabisha bisha
 
Back
Top Bottom