Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,148
20,305
Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno.

Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti

Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love.

Hata Mwana akikokosea vipi bado Mama humbembeleza na kumuonya ili arudi kwenye mstari.

Basi baada ya yale yaliyotukumba March 2021 na baadae akaingia Madarakani Mwanamke tuliyeamini ni shupavu na Watanzania wote wakajawa na Matumaini kwamba huenda mambo yakawa bam bam.

Cha ajabu watanzania wamekuja kushtuka kuwa ni bussnes as usual.

Wengine wanasema maswala ya Uchumi, umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, Ukiukwaji wa Utawala wa sheria na haki yoote haya yaliwashinda akina Mkapa, Kikwete na Dr Magufuli. Je, Samia ataweza?

Ukichunguza dhahama hizi zinazotupata hakuna Mbunge hata Mmoja amesikika Bungeni kututetea sisi wananchi.

Tunajiuliza hivi hii Tanzania inaongozwa na Watanzania kweli mbona hawana uzalendo?

CCM mmekwama wapi?
 
2025 itakua yamoto sana.
Rangi zote zitaonekana hapo 2025 majibu yote yatapatikana
Hakuna majibu wala Maswali kwani Katiba Ya taifa haifatwi bali ya Chama ndio inaongoza Nchi
 
Siku mkijua kwanini Samia ana mchukia Nyerere na Karume kuliko Magufuli ndiyo mtakuwa mmeanza kupata akili siku zote ukiona RAIA FEKI wamejiingiza kwenye siasa na serikali mjue hakuna heri na taifa lipo mikononi mwa wahalifu wakubwa sana.
 
Maajabu yatakuwa wakati wa kampeni, wananchi wote waliokuwa wanakosa maji, umeme n.k watasema mama aliupiga mwingi hvy apewe kura aongoze daima.
 
Siku mkijua kwanini Samia ana mchukia Nyerere na Karume kuliko Magufuli ndiyo mtakuwa mmeanza kupata akili .....siku zote ukiona RAIA FEKI wamejiingiza kwenye siasa na serikali mjue hakuna heri na taifa lipo mikononi mwa wahalifu wakubwa sana.
Kwani Kuna watu sio Raia wako ndani?
 
Mpaka tutajiuliza jamani hv hawa wananchi ndio wale wale waliokuwa wanalalamika maisha magumu au ni wengine.?
Watz ni wananchi wa ajabu sana.

Shida inaanzia kwenye Mwenge.

Kwakani utasikia unatambaa nchi nzima kuwapumbaza tena
 
Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno.

Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti

Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love.

Hata Mwana akikokosea vipi bado Mama humbembeleza na kumuonya ili arudi kwenye mstari.

Basi baada ya yale yaliyotukumba March 2021 na baadae akaingia Madarakani Mwanamke tuliyeamini ni shupavu na Watanzania wote wakajawa na Matumaini kwamba huenda mambo yakawa bam bam.

Cha ajabu watanzania wamekuja kushtuka kuwa ni bussnes as usual.

Wengine wanasema maswala ya Uchumi, umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, Ukiukwaji wa Utawala wa sheria na haki yoote haya yaliwashinda akina Mkapa, Kikwete na Dr Magufuli. Je, Samia ataweza?

Ukichunguza dhahama hizi zinazotupata hakuna Mbunge hata Mmoja amesikika Bungeni kututetea sisi wananchi.

Tunajiuliza hivi hii Tanzania inaongozwa na Watanzania kweli mbona hawana uzalendo?

CCM mmekwama wapi?
Tanzania kwishney. Umeme Haruna, maji Haruna, barabara mbovu, rushes balaaa na majungu viongzi kwa viongozi (kundi la la unaupiga mwingi) na waterfall kazi
 
Back
Top Bottom