Mawaziri mizigo waliosalia kwenye serikali ya jk...

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
510
Reaction score
273
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,-MZIGO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,- SIJUI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)

Ndugu Celina Kombani, Mb.,MZIGO SANA

OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,- HUYU NDO SIMJUI KABISA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,-SIMJUI

OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,-MZIGO THEN ANAKULA SANA RUSHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,-MZIGO..RUSHWA KWENYE HALMASHAURI ZOTE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)

Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,-MZIGO KABISA SIJUI NANI ANAMDANGANYA KWAMBA NI MCHAPAKAZI

​
WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki- Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,JAPOKUA SIJAONA ALICHOKIFANYA PIA SIJAONA ALIPOHARIBU

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,RIP

Waziri wa Ujenzi- Dr. John P. Magufuli, Mb.,- ANAPIGA KAZI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii- Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,URAFIKI WA JK NA BABAKE NDO ULOMFANYA AWEKWE HAPO-MZIGO

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,ASILIMIA 70 YA WANAFUNZI WA STD 7 HAWAJUI KUSOMA KINGEREZA CHA STD2 HUYU MZIGO MZITO KWENYE HILI TAIFA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto-Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,ALITUAMBIA ANAJUANA NA BWANA MKUBWA ILA HAJATUAMBIA NI KIVIPI...MZIGO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,ANAWAZA SANA URAIS ANASAHAU KAZI YAKE-MZIGO

Waziri wa Katiba na Sheria-Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,-SIMJUI KIVIILE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi-Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,RIP

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Dr. David M. David, Mb.,RIP

Waziri wa Kazi na Ajira-Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,SIONI KAZI ANAYOFANYA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia-Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,SIJAWAHI KUMSIKIA...HIVI JANUARI SI NDO YUPO KWENYE HII WIZARA?

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,-ANAJITAHIDI TAHIDI -HONGERA

Waziri wa Maji-Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,ANAJITAHIDI TAHIDI

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum-Prof. Mark Mwandosya, Mb., HUYU NDO RUMBESA ANAKULA KODI ZETU BURE

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika-Eng. Christopher Chiza, Mb.,-ANAJITAHIDI

Waziri wa Uchukuzi-Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,-ANAJITAHIDI ILA ANA MIKAKATI MINGI KULIKO UWEZO WAKE

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo-Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,-HUYU PIA SIJUI ANAFANYA KAZI GANI

Waziri wa Maliasili na Utalii-Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,RIP

Waziri wa Viwanda na Biashara-Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,KUBEBANA

Waziri wa Fedha-Dr. William Mgimwa, Mb.,MZIGO MZITO

Waziri wa Nishati na Madini-Prof. Sospeter Muhongo, Mb.YAANI HUYU NDO NUKSI KABISA
 
Mawaziri wengi hawajulikani kazi zao kwa kuwa sio watu wa kufanya kazi au kubuni miradi ya maendeleo bali ni kama wanausalama.Tibaijuka hakuna anachofanya,maghembe hakuna anachofanya
 
sijui hata nani awekwe kuziba hizo nafasi may be wachukue watu kutoka kwenye NGOs na private sector
 
​Mie simuoni yeyote mwenye ahueni wote ni mizigo tu ndio maana madudu ya kutisha kila Wizara.
 
Very interesting analysis!
 
sijui hata nani awekwe kuziba hizo nafasi may be wachukue watu kutoka kwenye NGOs na private sector

wizara ya Kilimo na Maji,mtoa mada kachemka,,,
hawa ndo walitajwa mwanzo na nape kuwa hawabebek,maghembe ni gunia la misumari
 
Sijajua umetumia cretia gani kuwapa points but all in all ua not fair kwa some of them na pia kuna uliowapa big up unnecessarily mfano huyu wa maji ni tatizo kulikounavyofikiri he does not know what is doing
Sijui anyway ndo shida ya kupeana nafasi kirafiki u willbe surprised kesho kutwa ukisikia nape anapewa wizara let us leave our fingures crossed
 
maghembe na Chiiza hayo magarasa mdau
 
hapo kwa maghembe mmmh,labda jamaa anaish ziwani haon shida ya maji,maghembe hafai kabisa,ila nilipata na background yake ndo maana yuko vile alivo,,,,
Jei four tangu mdodo alikua mtoro wa shule,akitoka nyumban anaenda kujificha kwa shangaz yake anakula viaz vya kuchemsha shule haend,hakua msikivu kiufup
 
Good analysis.Lukuvi,Simba na Nagu wanaponzwa na elomu zao za kubania.Basically Lukuvi ni Mwalimu Grade IIIC.Alipanda via UVCCM enzi hizo za Sief Khatib kama mwenyekiti na Katibu mkuu.
Kabaka is a frustrated ex teacher cum Fake Principal wa Butimba TTC.
Kawambwa,anatokea Bagamoyo,kwa kuwa tunajenga bandari kubwa kule, ni bora mkuu akamteua akasimamie mradi huo.UNALIPA WALA HAUNA LALAMU za mjengoni.
Kubaki kwake ktk elimu kutaliangamiza taifa na kuligeuza kuwa la vibarua wa wageni
 
Huyo Chiza naye ni failure.Wataalam wa kilimo sasa wanafaidi posho na usafiri baala ya kutumia mafungu ya bajeti na misaada toka nje kufanikisha sera ya KILIMO KWANZA.Kila siku kila ofisi ya Idara ya kilimo wilaya na mikoa zimejaa mabwana/mabini shamba wakiulizia semina badala ya kuwepo vijijini na mashambani kuwaelimisha wakulima.Bwanashamba katika ofisi za manispaa Ilala,Temwke na Kinondoni,wanafanya nini?
Budget kubwa kama si yote ya Kilimo inaishia kuwalipa posho wataalamu na makarani hata wanapoenda mashambani kwao.Kule Kilombero mabwanashamba wanashinda vijiweni na ofisini
Ifakara mjini,na wanapoenda vijijimi wanadai na kulipwa posho wakati ni vituoni kwao kwa kazi.
Chiza naye ang'olewe.
 
Sijajua umetumia cretia gani kuwapa points but all in all ua not fair kwa some of them na pia kuna uliowapa big up unnecessarily mfano huyu wa maji ni tatizo kulikounavyofikiri he does not know what is doing
Sijui anyway ndo shida ya kupeana nafasi kirafiki u willbe surprised kesho kutwa ukisikia nape anapewa wizara let us leave our fingures crossed

Kamanda upo juu!
 
in short 90 percent ya wabunge wa ccm ni mizigo
 
maghembe na Chiiza hayo magarasa mdau

kwa Maghembe nakubali lakini Chiza anajitahidi.Mkiufuata upepo wa Nape mtaumia.Anajua mwenyewe ni sababu gani inamfanya amshambulie sana Chiza.Yale yale ya Kagasheki.Ukiwazibia watu mirija yao wanakupaka matope.Dirty politics za CCM.Ila kwa ujumla ni vigumu sana kuperform ukiwa mwanaCCM.Mie nadhani kama hawa mawaziri wangekuwa waajiriwa wa serikali bila kupitia vyama vya siasa,tungeshuhudia watu tofauti na hawa.Tatizo mfumo!
 
Huyo Dr.Shukuru kawambwa ni furushi la mayai viza ya bata kabisa!lol! kweli mkulu ana machaguo yake!
 
Back
Top Bottom