Ile ishu ya bandari imeishia wapi?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,447
3,420
Habari Wakuu!

Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)

Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?

Natanguliza shukrani za dhati kwenu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?

Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
 
Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ujapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Thread closed
 
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?

Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Rekebisha uzi. Umesahau upepo wa Mafuriko ya Hanang
 
Itakua huwajui watz!

Hata leo waziri wa fedha anaweza kusema bajeti ya Oxygen trillion 10 na hamna kitu mtafanya
 
Habari Wakuu!

Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)

Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?

Natanguliza shukrani za dhati kwenu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tujuze kwani kulitokea nini😎
 
Maandamano ya Mdude na Mwabukusi yaliikimbiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)

Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?

Natanguliza shukrani za dhati kwenu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Cc denooJ nilikwambia watanzania ni watu wanaenda kwa upepo tu hawana reasoning yoyote ile.
 
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?

Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Nimekupata vyema Mkuu

Bila ya shaka hamna point ya maana iliyofikiwa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?

Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.

Umemaliza
 
1705299517734.jpg
1705299505194.jpg
 
Back
Top Bottom