Naibu Waziri Dkt. Festo Dugange arejea Ofisini baada ya kupata ajali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,143
Naibu waziri ( Tamisemi) Dr Festo Dugange aliyepata Ajali ya gari na kuvunjika kidole miezi 3 iliyopotea leo amerejea Ofisini na kupokelewa kwa tabasamu na tashwishwi na Watumishi wa Wizara

Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi katika majukumu yake

--
dugange.jpg

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(kulia) akisalimiana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (katikati) pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde (kushoto) katika Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa leo tarehe 25 Julai 2023 katika Uwanja wa Mpya wa Mashujaa eneo la Mji wa Serikali – Mtumba, Dodoma.
 
Ingekuwa enzi za Mwalimu huyu Waziri asingesalia kwenye nafasi yake baada ya ile kashfa yake na hatimaye Ajali yake.

Wakati mwingine ni vyema kuweza kuzuia tamaa za mwili ili kulinda status yako na hadhi ya Ofisi unayoitumikia.
 
Back
Top Bottom