Kutwaliwa Mzee Lowassa ni msiba mkubwa kwa CHADEMA. Aliweka Rekodi ya kura za Rais na Wabunge Wengi wa Kuchaguliwa!

Kutwaliwa Mzee Lowassa ni msiba mkubwa Zaidi kwa Chadema

Poleni Sana wanachadema

Poleni Sana CCM

Hakuna aliyechaguliwa kwa influence ya Lowassa, tena Lowassa ndio alichangia cdm kupoteza agenda Yao ya ufisadi. Acha upotoshaji wa kijinga.
 
Hakuna aliyechaguliwa kwa influence ya Lowassa, tena Lowassa ndio alichangia cdm kupoteza agenda Yao ya ufisadi. Acha upotoshaji wa kijinga.
Chadema bhana 😂😂 Kwahy sasa hv mnamkataa ila wakati wa kampeni mlimsifia kila kona
 
Pole ,Mzee Mbowe yupo mwambieni agombee uraisi atapata kura nyingi saana zaidi ya zile laki saba alizopata wakati uleeee
Lowassa kura alizikuta cdm Wala hakwenda nazo. Yeye alitakiwa aende na wale wabunge 50 wa ccm wa majimbo ambayo ilikuwa ulaghai. Angeenda TLP apate kura zile ungekuwa na hoja.
 
Back
Top Bottom