Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.

Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.

Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.

P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.

Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.

NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
 
Ushamba tu
 
Back
Top Bottom