Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje .

Je usalama wa rasmali za nchi utakuwepo ? Ni swali kunwa la kujiuliza .

Kabisa kabisa...
 
Itakuwa kulipana fadhila tu
Katika mambo ambayo Tanzania imefanikiwa kama nchi ni kutoruhusu vibaraka kuiongoza nchi...Tumshukuru muasisi wa Taifa letu hakuwa na tamaa na aliamini katika utaifa zaidi kuliko umamluki
 
Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje .

Je usalama wa rasmali za nchi utakuwepo ? Ni swali kunwa la kujiuliza .

Swali La Chekechea Hivi CCM Haina Marafiki Huko Ughaibuni Ama Wewe Ni Chawa Ambaye Unafuata Mkumbo Tu
 
Katika mambo ambayo Tanzania imefanikiwa kama nchi ni kutoruhusu vibaraka kuiongoza nchi...Tumshukuru muasisi wa Taifa letu hakuwa na tamaa na aliamini katika utaifa zaidi kuliko umamluki
Vibaraka ndio kina nani?

Au wale waliouza migodi na bandari zetu??
 
Mtoa mada kama hajamaliza hata darasa la saba.
Mbona Msukuma na Kishimba wana busara na maarifa makubwa kuliko PHD holders wengi tu, ukiangalia kwa umakini matatizo mengi ya nchi hii solutions zake zinaweza kutolewa na wenye shule ndogo
 
Katika mambo ambayo Tanzania imefanikiwa kama nchi ni kutoruhusu vibaraka kuiongoza nchi...Tumshukuru muasisi wa Taifa letu hakuwa na tamaa na aliamini katika utaifa zaidi kuliko umamluki
Ni kipi ambacho hawajapewa hao wageni, wanasubiri cdm waingie madarakani ili wakipate? Ni bandari, madini, misitu ama Nini?
 
Unakosea kudhani chama kikuu Cha upinzani Tanzania ni Chadema tu. Unakosea. ACT wazalendo imeunda na Serikali Zanzibar huoni?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Lengo hapa sio kupeana Nchi tunataka uwekwe utaratibu wa HAKI ili sisi WATANZANIA tuchague watu wanaofaa KUTUONGOZA.

Tunataka Nchi iongozwe kwa msingi wa Meritocracy.
 
Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje.

Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
Nchi hii inahitaji chama kipya, mawazo mapya. Akili, ubunifu, uwezo, mentality mpya.

CCM mkubali kuruhusu vyama vipya kusajiliwa.
 
Kwani rasilimali zinavyo chotwa na kubebwa sasa hivi wanaongoza ni chadema 🤔🤔 tunachohitaji ni mtu au watu wazalendo wanao weza kusimama na kupigania nchi kwa machozi jasho na damu sio chama, kwa bahati mbaya sana watu wazalendo huwezi kuwapata ndani ya ccm hata kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom