Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,939
- 4,117
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!
Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura
Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga
Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono
Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao
Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea
Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu
Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo
Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!
Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?