Serikali itoe maelezo, kwanini Magari ya Serikali yamepata ajali kwenye shughuli zisizo za Kiserikali?

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Hii gari ya serikali namba STL 8699 Land Cruiser V8 ilikuwa inatafuta nini kwenye msafara wa Makonda ambaye sio kiongozi wa Serikali mpaka inapata ajali?

Kwa hiyo hapo tena pesa za serikali zitachotwa kwa ajili ya kwenda kutengeneza gari hii ambayo imeharibiwa kwenye shuguli ambazo sio za serikali?

Au ndio mtauziana mali hiyo ya umma kwa bei za mtelemko halafu muagize lingine kwa kutumia kodi za Umma?

Rais Samia hivi hufikiri ni namna gani unaumiza nchi na wananchi wa taifa hili? Kwanini hata huna uchungu na mali za serikali kama vile zinaokotwa wakati kuna watu wanavuja jasho kwa ajili ya kuzipigania?

Fikiria gari na mafuta ya serikali vinatumika kwa matumizi binafsi namna hii katika kipindi ambacho nchi nzima inalia na ugumu wa maisha ulisababishwa na serikali.

Anyway tukutane Mwanza kwenye maandamano ya amani .

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

20240211_165735.jpg

STM.jpg

STM 2.jpg
 
Mbona Makonda amejitanabaisha waziwazi kua ndio mtatuzi pekee wa Kero za watanzania.

Katika kutafuta Kero hizo inalazimika wawepo wakurugenzi, wakuu wa Idara, wakuu wa Wilaya, mikoa, Hawa woteeee wanatumia Gari za Serikali .

Sasa ulitaka wao wapite barabara zao ???? Wasiamabatane na Makonda???.

Kwa lugha nyingine, Hutaki watendaji wa Serikali wawepo kwenye Ziara za Makonda??.

UPINZANI WA KUDANDIA DANDIA VIMATUKIO NANKUVIGEUZA KUA HABARI, KAMWE HUWEZI KUSHIKA NCHI .

Kwa taarifa tu, matukio kama haya, na namna mnavyoyachukulia, Ndio yanazidi kumpa Credit PAUL MAKONDA.
 
Hii gari ya serikali namba STL 8699 Land Cruiser V8 ilikuwa inatafuta nini kwenye msafara wa makonda ambaye sio kiongozi wa serikali mpaka inapata ajali?

Kwa hiyo hapo tena pesa za serikali zitachotwa kwa ajili ya kwenda kutengeneza gari hii ambayo imeharibiwa kwenye shuguli ambazo sio za serikali?

Au ndio mtauziana mali hiyo ya umma kwa bei za mtelemko halafu muagize lingine kwa kutumia kodi za Umma?

Samia hivi hufikirii ni namna gani unaumiza nchi na wananchi wa taifa hili? Kwanini hata huna uchungu na mali za serikali kama vile zinaokotwa wakati kuna watu wanavuja jasho kwa ajili ya kuzipigania?

Fikiria gari na mafuta ya serikali vinatumika kwa matumizi binafsi namna hii katika kipindi ambacho nchi nzima inalia na ugumu wa maisha ulisababishwa na serikali.

Anyway tukutane Mwanza kwenye maandamano ya amani .

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2900937
Hao wanaojibu kero za wananchi unataka wapande fisi
 
Wamafanya nn kwenye ziara ya kichama wakati wao ni watendaji wa serikali.
 
11 February 2024

Masasi, Mtwara

MAGARI 15 YAPATA AJALI MSAFARA WA KATIBU MUENEZI
LIVE : Shughuli za chama kongwe dola zinazoongozwa na muenezi, magari ya seriikali kadhaa yapata ajali mbaya kata ya Sululu

View: https://m.youtube.com/watch?v=HbIhhWSXXZI

Sululu ni jina la kata ya Wilaya ya Masasi Mjini katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi 12578.
 
Mbona Makonda amejitanabaisha waziwazi kua ndio mtatuzi pekee wa Kero za watanzania.

Katika kutafuta Kero hizo inalazimika wawepo wakurugenzi, wakuu wa Idara, wakuu wa Wilaya, mikoa, Hawa woteeee wanatumia Gari za Serikali .

Sasa ulitaka wao wapite barabara zao ???? Wasiamabatane na Makonda???.

Kwa lugha nyingine, Hutaki watendaji wa Serikali wawepo kwenye Ziara za Makonda??.

UPINZANI WA KUDANDIA DANDIA VIMATUKIO NANKUVIGEUZA KUA HABARI, KAMWE HUWEZI KUSHIKA NCHI .

Kwa taarifa tu, matukio kama haya, na namna mnavyoyachukulia, Ndio yanazidi kumpa Credit PAUL MAKONDA.
Hata Mwamposa naye ni mtatuzi wa matatizo ya wananchi, hao maelfu wanaojaa Kawe kwa Mwamposa ni matatizo ambayo serikali imeshindwa kuwatatulia ndiyo wanamuomba Mwamposa awatatulie hivyo si Makonda pekee ndiye mtatuzi wa matatizo yetu.
 
Hii gari ya serikali namba STL 8699 Land Cruiser V8 ilikuwa inatafuta nini kwenye msafara wa makonda ambaye sio kiongozi wa serikali mpaka inapata ajali?

Kwa hiyo hapo tena pesa za serikali zitachotwa kwa ajili ya kwenda kutengeneza gari hii ambayo imeharibiwa kwenye shuguli ambazo sio za serikali?

Au ndio mtauziana mali hiyo ya umma kwa bei za mtelemko halafu muagize lingine kwa kutumia kodi za Umma?

Samia hivi hufikirii ni namna gani unaumiza nchi na wananchi wa taifa hili? Kwanini hata huna uchungu na mali za serikali kama vile zinaokotwa wakati kuna watu wanavuja jasho kwa ajili ya kuzipigania?

Fikiria gari na mafuta ya serikali vinatumika kwa matumizi binafsi namna hii katika kipindi ambacho nchi nzima inalia na ugumu wa maisha ulisababishwa na serikali.

Anyway tukutane Mwanza kwenye maandamano ya amani .

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2900937
Safi sana tumegundua CCM inatumia vibaya mali za umma.

Msafara wa Mwenezi siyo msafara wa kiserikali.

Enewei. Mungu anawapatiliza wanaumbuka
 
Mbona Makonda amejitanabaisha waziwazi kua ndio mtatuzi pekee wa Kero za watanzania.

Katika kutafuta Kero hizo inalazimika wawepo wakurugenzi, wakuu wa Idara, wakuu wa Wilaya, mikoa, Hawa woteeee wanatumia Gari za Serikali .

Sasa ulitaka wao wapite barabara zao ???? Wasiamabatane na Makonda???.

Kwa lugha nyingine, Hutaki watendaji wa Serikali wawepo kwenye Ziara za Makonda??.

UPINZANI WA KUDANDIA DANDIA VIMATUKIO NANKUVIGEUZA KUA HABARI, KAMWE HUWEZI KUSHIKA NCHI .

Kwa taarifa tu, matukio kama haya, na namna mnavyoyachukulia, Ndio yanazidi kumpa Credit PAUL MAKONDA.
Ficha Upumbavu hata kama Upumbavu wako ni JADI
 
Yaani nimeogopa saaana wakati CCM kila siku wanaongelea chadema kutokuwa na ofisi magari yotee kwenye msafara ni ya serikali..hivi ina maana hawaelewi kuwa serikali ni tofauti na chama.yaani cc wanachadema iweje Kodi zetuu ziwanunulie magari na mafuta wana CCM??yaani nina machunguu balaa tuzidishe maombi ndugu zangu.
 
Kwahiyo unataka uanzishe maandamano? Ujuaji mwingi kumbe zero brain.
 
Mbona Makonda amejitanabaisha waziwazi kua ndio mtatuzi pekee wa Kero za watanzania.

Katika kutafuta Kero hizo inalazimika wawepo wakurugenzi, wakuu wa Idara, wakuu wa Wilaya, mikoa, Hawa woteeee wanatumia Gari za Serikali .

Sasa ulitaka wao wapite barabara zao ???? Wasiamabatane na Makonda???.

Kwa lugha nyingine, Hutaki watendaji wa Serikali wawepo kwenye Ziara za Makonda??.

UPINZANI WA KUDANDIA DANDIA VIMATUKIO NANKUVIGEUZA KUA HABARI, KAMWE HUWEZI KUSHIKA NCHI .

Kwa taarifa tu, matukio kama haya, na namna mnavyoyachukulia, Ndio yanazidi kumpa Credit PAUL MAKONDA.
Mtajitetea Sana. Lkn wananchi tunayaona haya jinsi mnavyochezea Mali za umma. Yanamwisho hayo.
 
Back
Top Bottom