Msafara wa Makonda: Tatizo ni msururu wa Magari au Uwepo wa Magari ya Serikali?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,073
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo

Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
 
Wanasema ni magari ya Serikali.

Najiuliza, Sasa wale Ma DC DED n.k iliwabidi kutumia magari ya CCM? Kwa sababu ni shughuli za CCM

CHADEMA huwa wanatoa magari ya CHADEMA kwa Vyombo vya Usalama n.k?

Je, yangekuwa Magari ya CCM, ule uchawi unodaiwa kuwa mkali kuliko ule Moshi ule- makali ya ajali yangepungua? Wangetoa Pole?
Tukumbuke hakuwa Makonda peke yake, ama atakuwa mtu wa ajabu kuendesha magari zaidi ya kumi!

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
 
Mimi binafsi sioni tatizo Magari ya serikali kwenye msafara wa Makonda kwani wanatakiwa ndo waje wajibu kero za sisi wananchi wanyonge
 
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo

Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
shida ni ufahamu na uelewa mdogo juu ya masuala mbalimbali ya kiserikali na kichama 🐒

shida kubwa sana ingekua au ingempata kiongozi mwandamizi wa chama au serikali kukosekana kwenye msafara angali yupo kwenye eneo husika na kiongozi wa ngazi ya juu sana wa chama chenye serikali kuwapo eneo hilo 🐒

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo

Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Mbona hata wewe unajua malalamiko yanayohusu msafara wa Makonda(Makonda Safari Rally) yalianza siku ya pili alipozindua uponyaji wake.
 
Wanasema ni magari ya Serikali.

Najiuliza, Sasa wale Ma DC DED n.k iliwabidi kutumia magari ya CCM? Kwa sababu ni shughuli za CCM

CHADEMA huwa wanatoa magari ya CHADEMA kwa Vyombo vya Usalama n.k?

Je, yangekuwa Magari ya CCM, ule uchawi unodaiwa kuwa mkali kuliko ule Moshi ule- makali ya ajali yangepungua? Wangetoa Pole?
Tukumbuke hakuwa Makonda peke yake, ama atakuwa mtu wa ajabu kuendesha magari zaidi ya kumi!
Magari ya serikali yanatumiwa kufanya kampeni za ccm wewe unaona ni sawa? Ndilo wali wadau wanahoji.
 
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo

Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Tatizo Ni ujinga wa watanzania. Wanaotoka majumbani mwao kwenda kumsikilozq MJINGA AKIWAHADAA
 
Wanasema ni magari ya Serikali.

Najiuliza, Sasa wale Ma DC DED n.k iliwabidi kutumia magari ya CCM? Kwa sababu ni shughuli za CCM

CHADEMA huwa wanatoa magari ya CHADEMA kwa Vyombo vya Usalama n.k?

Je, yangekuwa Magari ya CCM, ule uchawi unodaiwa kuwa mkali kuliko ule Moshi ule- makali ya ajali yangepungua? Wangetoa Pole?
Tukumbuke hakuwa Makonda peke yake, ama atakuwa mtu wa ajabu kuendesha magari zaidi ya kumi!
Hoja za kijinga uwe unaongea kwenye vikao vyenu upenuni. Makonda amefanya kazi gani ya serikali Tangu ameanza ziara?
 
Back
Top Bottom