Ridhiwani Kikwete: Vita dhidi ya rushwa ni agenda endelevu

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
304
518
Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay aliyetaka kujua serikali imejipangaje kujenga ofisi za TAKUKURU nchini. Pamoja na majibu ya swali hilo la msingi na maswali mengine yalipata majibu.

#KaziInaendelea
 
Ninamtaka mmiliki wa UDA na NYATI CROSS BORDER TRANSPORTERS anyone kidole juu ili Nkanini nimuone
 
Back
Top Bottom