Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
"Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa wa hifadhi mbalimbali kama vile TANAPA, TFS na Mamlaka ya Ngorongoro" -Zitto

"Migogoro ya namna hii imesambaa kila kona ya nchi yetu na isipochukuliwa hatua italeta vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuhatarisha utulivu wa nchi yetu" -Zitto

Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama hicho leo, Jumatatu Februari 12.2024, Dar es Salaam

Credit - JamboTv
 
Back
Top Bottom