Heche: Uchaguzi wa 2015 Matokeo yalipinduliwa na waliopindua Dhulma inawatesa hadi Leo hii

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,003
Kufuatia Prof Tibaijuka kusema kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi akishinda Urais, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema Uchaguzi wa 2015 ulipinduliwa kwa lengo la kuuwa Mageuzi nchi

Heche amesema waliopindua Uchaguzi wamejawa hofu na Dhulma inawatesa hadi leo

Heche ameahidi Chadema kuwapatia Watanzania Kiongozi atakayeingia Madarakani kwa kura zao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
 
JamiiForums-787880945.jpeg
 
Natumaini CHADEMA safari hii watampata mwanaCCM mwenye nguvu kisiasa kama Lowassa ili awasaidie kwenye nafasi ya mgombea urais. Wamshawishi Humphrey Polepole au Job Ndugai awaokolee jahazi.
 
Maongezi yanaendelea na Mzee wa Tukutuku Daktari Kigwa
 
Kufuatia Prof Tibaijuka kusema kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi akishinda Urais, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema Uchaguzi wa 2015 ulipinduliwa kwa lengo la kuuwa Mageuzi nchi

Heche amesema waliopindua Uchaguzi wamejawa hofu na Dhulma inawatesa hadi leo

Heche ameahidi Chadema kuwapatia Watanzania Kiongozi atakayeingia Madarakani kwa kura zao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Kwa hiyo Kushida kwa cdm mpaka mtu kutoka CCM agombee kwa ticket ya cdm. Safar ni ndefu
 
Kufuatia Prof Tibaijuka kusema kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi akishinda Urais, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema Uchaguzi wa 2015 ulipinduliwa kwa lengo la kuuwa Mageuzi nchi

Heche amesema waliopindua Uchaguzi wamejawa hofu na Dhulma inawatesa hadi leo

Heche ameahidi Chadema kuwapatia Watanzania Kiongozi atakayeingia Madarakani kwa kura zao

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi
Akurehemu kwani umekufa au kiswahili shida. Mungu anawarehemu wafu kama lowasa. Ndo mana wanaitwa marehemu
R.I.P. LOWASA
 
Umepuuza au hujui kiswahili we bumunda
Bwana Uturehemu

Kristo Uturehemu

Bwana Uturehemu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Utaishia kuroga misafara ya Mwenezi wetu tu, tutusa wahed 🐼
 
Wewe hujafa huyo bwana anakurehemu vipi? Na akina lowasa awafanyeje sasa?
Wewe endelea na siasa zako za mkate haya mengine waachie wanaojua kiswahili
 
Litujia hiyo Wewe pagan utaijulia Wapi πŸ˜‚πŸ˜‚

Katekista JJMnyika ndio anayeelewa hapo Ufipa st 🐼
 
Hapo Ufipa st hata 500 hupati unaishia kuroga misafara ya Mwenezi kwa wivu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani nimuonee wivu mtu ambaye hata shule tu ilimshinda Anavyeti FEKI. alikuwa anasoma masters na hata waliokuwa wanamuandikia research nawajua. Nimuonee wivu kwa lipi??
 
Natumaini CHADEMA safari hii watampata mwanaCCM mwenye nguvu kisiasa kama Lowassa ili awasaidie kwenye nafasi ya mgombea urais. Wamshawishi Humphrey Polepole au Job Ndugai awaokolee jahazi.
Kama Kuna mahali cdm walikosea ni kuokota hizo taka ngumu za ccm na kuzipa nafasi adhimu za kugombea. Ule ulikuwa ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Back
Top Bottom