Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
120,403
225,593
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse.

Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe.

Hivyo kesi imeanza upya, kwa kuanza mchakato katika Mahakama za chini. Itakumbukwa George Sanga na wenzake wamekamatwa tarehe 26 Septemba 2020, ambapo mpaka leo wametimiza siku 1,234 gerezani.

Kuhusu tuhuma za mauaji, zaidi soma Njombe: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

Screenshot_2024-02-12-14-39-49-1.png

Tumesema Mara nyingi humu na kwingineko kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , Hatimaye Kijana George Sanga na Wenzake wameachiwa huru baada ya Mahakama kujiridhisha kwamba WALIBAMBIKWA KESI YA UONGO KWA SABABU YA SIASA ZA KISHAMBA ZA AWAMU YA TANO
 
Magufuli alikuwa kweli na dhamira ya dhati kuo zana nchi inasonga mbele. Ila aliwafanyia ukatili mkubwa sana wapinzani wake wa kisiasa, naamini hatatokea Tena kiongozi dhalimu Kwa upinzani kama yeye. Mwendo Ameumaliza Mungu wake amlipe inavyomstahili. Pole sana Bwana George Sanga, Haki siku zote huishinda dhuluma mwishoni.
 
View attachment 2901754

CCM ni Chama Cha Mashetani. Yaani walitaka George na wenzake wahukumiwe kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kutungwa.
 
View attachment 2901754

Tumesema Mara nyingi humu na kwingineko kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , Hatimaye Kijana George Sanga na Wenzake wameachiwa huru baada ya Mahakama kujiridhisha kwamba WALIBAMBIKWA KESI YA UONGO KWA SABABU YA SIASA ZA KISHAMBA ZA AWAMU YA TANO
X wameandika eti wamekamatwa tena? Ni kweli
 
Magufuli alikuwa kweli na dhamira ya dhati kuo zana nchi inasonga mbele. Ila aliwafanyia ukatili mkubwa sana wapinzani wake wa kisiasa, naamini hatatokea Tena kiongozi dhalimu Kwa upinzani kama yeye. Mwendo Ameumaliza Mungu wake amlipe inavyomstahili. Pole sana Bwana George Sanga, Haki siku zote huishinda dhuluma mwishoni.
Hakika
 
Viongozi makatili wapo lumumba. Fikiria mtu kama makonda ameua na kuteka wangapi? Leo yupo wapi? Sabaya kafanywa nn?
 
View attachment 2901754

Tumesema Mara nyingi humu na kwingineko kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , Hatimaye Kijana George Sanga na Wenzake wameachiwa huru baada ya Mahakama kujiridhisha kwamba WALIBAMBIKWA KESI YA UONGO KWA SABABU YA SIASA ZA KISHAMBA ZA AWAMU YA TANO

Bali ifahamike kwamba KILA UBAYA UTALIPWA , HII NI KWA SABABU HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU KILICHOAGIZA TUMSAMEHE SHETANI , NIWE MKWELI TU , KAMA ULIHUSIKA JIANDAE , HATUTAANGALIA SURA YA MTU NA WALA HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .

Unaweka watu jela kwa miaka 4 kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa ! Hili jambo halikubaliki .

Nachukua Nafasi hii kuwashukuru watu wote waliopigania Uhuru wa George Sanga na Wenzake kwa hali na Mali , Hakika Mungu atawalipa kwa wema wenu huo , AMINA .
Naomba CDM wakae na kutafakari jinsi kuwasaidia hata mitaji kurudisha maisja yao mstari wamepigania chama sana kukaa gerezani muda wote huu maisha yao vurugwa Sanaa wanaanza zero kabisa kwa sasa.....naomba sana hiloo
 
Huyu mtu wamemtesa bila hatia yoyote, amekaa gerezani miaka mingi kama mfungwa aliyehukumiwa, bahati nzuri kwake amejaliwa sura angavu yenye huruma isiyo na dalili ya kulipa kisasi, huyu anastahili kufidiwa kwa namna yoyote, sio tu na wale dhalimu waliompa kesi ya uongo, hata na wapigania haki wa nchi hii

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wekeni namba tuwachangie makamanda.
 
Mkiambiwa muende shule mnaishia kwenda kupiga makelele darasani. Ona sasa hujui hata TAFSIRI YA NENO GAIDI . Unapuyanga tu kama zuzu
Kuna mtu nimemtaja? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🌟🌟🌟πŸ”₯πŸ”₯

Nimesema Gaidi anadunda mitaani sijataja mtaa kama ni nchini Somalia au Lebanon πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeshtuka Sana🐼

Mlozi wahed πŸ˜‚πŸ”₯
 
Tatizo siyo ugaidi wala gaidi lahasha. Tatizo lako hujui tafsiri ya neno gaidi na ugaodi. Siyo kosa lako ni matokeo ya kiwa mpiga kelele maarufu darasani
 
Back
Top Bottom